Tetesi: Huyu hapa anayedaiwa kumuigiza "Wema kwenye Voice Note na Mbowe"

Status
Not open for further replies.
Ile ya mbunge wa viti maalum aliempa mimba vip? Nayo imeigizwa?!
ile safari ya Dubai kwa yule mbunge je nayo iliigizwa..
muwe mnaona hata aibu sometym.

Vipi na Wewe ile Video ya ulivyokuwa Ukibakwa nayo pia iliigizwa au ni ya kweli?
 
Jamani msilifanye hili ni big deal hivi trump anavyoigizwa angekuwa anatilia maana si angeshakufa kwa pressure.

Waacheni watu waaonyeshe vipaji vyao.
 
Acheni kupotosha..!! Yule ni wema original. Tunajua nyie ni Mabingwa wa kusafisha lakini hapo hamna jinsi yule ni wema original na Yule ni Mbowe original. Hakuna asiyefanya yale. Kila mtu anafanya Kwa namna moja au nyingine lakin ikitoka hadharan lazima mhusika atoke hadharan kuomba msamaha na kuwajibika Kwa matendo yake.

Hakuna aliemtuma kufanya vile. Kuna Wanawake Wengi wazuri kuliko Wema na wastaarab kuliko wema ambao wangemlindia heshima yake lakini yeye alichagua kwenda Kwa wema so lazima awajibike Kwa matokeo ya matendo yake.
Hata km ni wema kwan hao wawili kuwa wapenzi ni tatizo??? Je watakuwa wamevunja ibara gan ya katiba ya JMT 1977.

Acheni upuuzi kwa wewe hapo ulipo huna mpenzi??
 
Acheni kupotosha..!! Yule ni wema original. Tunajua nyie ni Mabingwa wa kusafisha lakini hapo hamna jinsi yule ni wema original na Yule ni Mbowe original. Hakuna asiyefanya yale. Kila mtu anafanya Kwa namna moja au nyingine lakin ikitoka hadharan lazima mhusika atoke hadharan kuomba msamaha na kuwajibika Kwa matendo yake.

Hakuna aliemtuma kufanya vile. Kuna Wanawake Wengi wazuri kuliko Wema na wastaarab kuliko wema ambao wangemlindia heshima yake lakini yeye alichagua kwenda Kwa wema so lazima awajibike Kwa matokeo ya matendo yake.
....Kusema tuu acheni kupotosha does not mean wewe uko correct, lete proof kwamba wewe ni sahihi na si mpotoshaji like others.
 
Li chairman lako ni lizinzi, yaani lina toka nje ya ndoa, lingekuwa arabuni lingepigwa mawe mpaka life!
Kwani unataka kuolewa na richeameni!?
Nimelazimika kuuliza kutokana na wivu uliouonyesha dhahiri!!
 
Acheni kupotosha..!! Yule ni wema original. Tunajua nyie ni Mabingwa wa kusafisha lakini hapo hamna jinsi yule ni wema original na Yule ni Mbowe original. Hakuna asiyefanya yale. Kila mtu anafanya Kwa namna moja au nyingine lakin ikitoka hadharan lazima mhusika atoke hadharan kuomba msamaha na kuwajibika Kwa matendo yake.

Hakuna aliemtuma kufanya vile. Kuna Wanawake Wengi wazuri kuliko Wema na wastaarab kuliko wema ambao wangemlindia heshima yake lakini yeye alichagua kwenda Kwa wema so lazima awajibike Kwa matokeo ya matendo yake.
Hivi unaweza kurekodi sauti ya simu kabla ya kupokea? Yaan unaanza kurekodi kabla haijaita, inaanza kuita na kisha unapokea? Halafu kwa jinsi inavyosikika ni kwamba Wema ndo kairekodi!! Je ni Kweli anaweza kujifanyia hivyo??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom