Msaada wa sheria ya umiliki wa ardhi kijijini

loupa

Senior Member
Jul 22, 2016
124
78
Sheria inasemaje kwa MTU anayemiliki ardhi kijijini? Mfano mtu anamiliki kiasi kikubwa cha ardhi kijijini akidai ni urithi Wa ukoo , wakati katika kijijini hicho hicho kuna watu hawaba ardhi kias hicho


Msaada Wa kisheria hapo
 
f7e73917c46dd0a5ae06a33e061bedaf.jpg
 
Hiyo ni sheri ardhi ya vijiji, umiliki wa ardhi kwa njia ya kimila yaani customary right of occupancy haitakiwi kuzidi hekari katika mantiki ya sheria hiyo
 
Hiyo ni sheri ardhi ya vijiji, umiliki wa ardhi kwa njia ya kimila yaani customary right of occupancy haitakiwi kuzidi hekari katika mantiki ya sheria hiyo
Interpretation ya hyo section (kisheria) ni pale ambapo serikali ya kijiji ndo imetoa hyo ardhi (CRO) granted by the VC...on a village land!. Kumbka village land imegawanyika ktk part 3
i. Communal village land (for village use only)
ii. Village land (availlable for grant under CRO)
iii. Village land owned by a villager/family which is within the village boundary!.

So hicho kifungu ni ardhi ya kijiji kpengele cha ii. Kuhusu ardhi ambayo inafall under iii hakitumiki!.

Note:
VC = Village council
CRO = Customary right of occupancy!.
 
Ikiwa mimi ni mwanakijiji na ninataka ardhi kubwa kwa ajili ya kuiendeleza ikimilikiwa na kampuni yangu nifanyeje? Nitapaswa kuiomba ardhi hiyo toka kwa nani? Matharani ardhi ya ukubwa wa ekari 1000 mpaka 5000.
 
Back
Top Bottom