Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,833
Hili tulishajua huyu lazima watamsimamisha mana siku hizi wanapenda sana sifa kwa raia na ili wapate hiyo kitu lazima mmoja aumie sababu kutangaza tenda na kumpa tenda mtu ni vitu viwili tofauti sasa unapomsimamisha kazi mtu bila sababu za msingi inakuwa ni kutafuta sifa