Recent content by Safety last

  1. Safety last

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    WEWE NI WA KUPUUUZWA
  2. Safety last

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Wachezaji wengi wakitoka Leipzig kuja chelsea wanaflop, TIMO WERNER, CHRIS NKUNKU HILI DEAL LA XAVI SIMON.... ISIJE IKAWA Marudio.... Kuna sajili hazikwenda vizuri mojawapo joao felix ...
  3. Safety last

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Jorrel Hato awe Mbadala wa cucurela
  4. Safety last

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kila mara wakihitajika LAVIA NA NA FOFANA hawapo , pamoja na talanta walizonazo ila haina maana ya kuwa na wachezaji wasiomaliza mwezi bila kuumwa mbadala muhimu
  5. Safety last

    UTV(Azam TV) mnunulieni suti mchambuzi wenu wa kimataifa aonekane "professional".

    Anaitwa ibra Ra.... Ila jamaa anauchambuzi wa upande mmoja na hili ndio kosa kubwa sana media za Tanzania..... Hutasikia hata siku moja jamaa akisema Israel wanauwezo utaona mara nyingi anamsema Netanyahu anamgogoro ndani ya chama chake kuonyesha ndio dhaifu hata sasa anaongea kutia kimrengo wa...
  6. Safety last

    Ayatollah wa Iran yupo ndani ya crosshairs za Israel

    Trump sign executive order if you *** around you will find out
  7. Safety last

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mimi nataka wacheze hata mechi ya Bournemouth walifanya vizuri
  8. Safety last

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Fofana na gusto hamna muunganiko
  9. Safety last

    Tuikumbuke Sudan pia sio kila siku Israel na Ukraine

    Acha hao Sudan wakaaangane waliwatesa sana South Sudan wamezoea kuona damu ikitiririka
  10. Safety last

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Fofana hayuko makini
  11. Safety last

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mechi ya jana kama angekuwa pochetino tungeshafungwa kipindi cha kwanza na mabadiliko yangefanyika ambayo yasingeleta mafanikio yoyote.... Bado huyu kocha anakitu anaweza fanya
  12. Safety last

    Nani aliipa Tanga hadhi ya kuwa jiji?

    Tanga bado tena bado saaana mji UMEZUBAAA halafu, halafu ni kama jamii ya Tanga haina ubunifu... Tanga haitabasilishwa na wanatanga kabisa ni lazima kuwe na tofauti itakayo tokea nje tanga ya leo... Hiana tofauti ya miaka kumi iliyopita hata kumi ijayo itakuwa hivyo hivyo
  13. Safety last

    Jina la Sabaya lasimamisha kesi kwa muda

    Inategemea na maombi ya mawakili wa serikali walivyofanya amendment ya kifungu cha 234 CPA CAP 20 RE 2019 ambacho kina vipengele vingi mahsusi ambavyo sio lazima mashahidi au ushahidi uanze upya
Back
Top Bottom