Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,885
- 4,458
Hivi nani aliipa hadhi Tanga kuwa jiji? Hivi nikuulize Kati ya Tanga na kahama wapi kuna mishemkshe? Jibu ni kahama Sasa Kwanini mpaka Leo kahama imebakia kuwa wilaya? Kiukweli sijaona mkoa au jiji la hovyo kama Tanga aisee
Huu mkoa msambaa kidogo ndio anauamsha ila makabila mengine yaliobakia ni hovyo kabisa. Huu mkoa ni wa kishamba kiukweli aisee na yoyote ambaye aliniselect kuja kufanya kazi huku alaaniwe kabisa
Hili jiji la hovyo kabisa yaani mambo wanayojua wao ni kudanga, baikoko na kijamvi tu na wizi Nazi tu, upuuzi kabisa Huu mkoa,jiji la hovyo kabisa, wavivu kama haijawai kuwaona wewe Njoo Tanga, mashoga kama haijawai kuwaona Njoo Tanga, mateja kama haujawai kuwaona Njoo Tanga, washirikina kama haujawai kuwaona Njoo Tanga aisee
Halafu wanasema wanajua kupika ni uongo mtupu uliodhahili kabisa.
Pia Soma
- Hivi kwanini Tanga hainyang'anywi hadhi ya kuwa Jiji? Ni sehemu ya ajabu sana