Biomedical Engineering 🤗
So far sijajuta kuchagua hii degree ile 2019.
So far kuna nafasi nyingii za kazi mpaka watu wanachagua interview ipi waende ipi wasiende.
Na Last time nimecheki wizara ya afya ilitoa nafasi 22, walio kuwa shortlisted 11.
Unataka kuwapokonya watu dini watashikilia nini tena kama "moral compass"? Na nini kingine kitawapa "meaning" ya mateso ya dunia hii?
Most people hawapo tayari kuachia hii kitu kwasababu hawana namna nyingine ya kuishi na kupata meaning ya maisha zaidi ya kutumia hiyo "lens" ya dini.
Pamoja Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.