Jerry001
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 1,649
- 3,917
Kabisa mkuu. Hakuna kukata tamaa, safari hii kawakande haswa. Best wishesNgoja nikapambane tena đź’Ş
Kabisa mkuu. Hakuna kukata tamaa, safari hii kawakande haswa. Best wishesNgoja nikapambane tena đź’Ş
Kwani ya kujikimu hamkupewa nyie?Bado hapa tumeambiwa tusubiri mshahara wa July ndo Twende
Samahani mtaalaamu hyo blank ni upande wa my application au interview.Yeah 👍
Sema napokea asali 🍯
Soon wewe ni mtumishi mpya wa serikali apo barua yako inakuja
Sema tawile.....
Usisahau kununua suti kali pamoja na Subaru kutembea peku mwiko ......
Usisahau kuleta Feed back humu, watu ni wabishi mno.....
Mzee usijichoshe kuhangaika na app Kwa sasa Haipo up to date ukilinganisha na web. Kuna interview Moja app ilitaka kunipoteza, mda uliwekwa saa nne, kwenye web ni saa Moja, interview tukaanza saa Moja.Samahani mtaalaamu hyo blank ni upande wa my application au interview.
Mm nasemaga sana humu, mambo ya kuhangaika na app n kujiumiza kichwa tuu, kwenye web Ndo Kila kitu Ila bado humu watu wanaleta utoto wa received Kwenye app Na not received Kwenye web 🗑️Mzee usijichoshe kuhangaika na app Kwa sasa Haipo up to date ukilinganisha na web. Kuna interview Moja app ilitaka kunipoteza, mda uliwekwa saa nne, kwenye web ni saa Moja, interview tukaanza saa Moja.
Naamini safari hii napita nayo hii nafasiKabisa mkuu. Hakuna kukata tamaa, safari hii kawakande haswa. Best wishes
Hapana mkuu wametuambia tu tusubiri mshahara tukiingiziwa mshahara tutaenda training fupi pale HQ then watatupa barua ya vituo iyo ya kujikim mpaka tukishaenda kwenye kanda tutazokuwa tumepangiwaKwani ya kujikimu hamkupewa nyie?
Pesa ya kujikimu ni haki yako.Hapana mkuu wametuambia tu tusubiri mshahara tukiingiziwa mshahara tutaenda training fupi pale HQ then watatupa barua ya vituo iyo ya kujikim mpaka tukishaenda kwenye kanda tutazokuwa tumepangiwa
Taasis gan mkuu?Hapana mkuu wametuambia tu tusubiri mshahara tukiingiziwa mshahara tutaenda training fupi pale HQ then watatupa barua ya vituo iyo ya kujikim mpaka tukishaenda kwenye kanda tutazokuwa tumepangiwa
Naona ajira yako imefunguka fasta mkuu, hongera sana. Wengine bado tunasubiri kupigiwa simu.Hapana mkuu wametuambia tu tusubiri mshahara tukiingiziwa mshahara tutaenda training fupi pale HQ then watatupa barua ya vituo iyo ya kujikim mpaka tukishaenda kwenye kanda tutazokuwa tumepangiwa
Naam mkuu hiyo tutaomba tuuPesa ya kujikimu ni haki yako.
TARI MkuuTaasis gan mkuu?
Huu huu mwezi watakucheki tu mkuu muhimu usharamba PlacementNaona ajira yako imefunguka fasta mkuu, hongera sana. Wengine bado tunasubiri kupigiwa simu.
Kila la kheri mkuu sisi wengine tunasubir simu piaTARI Mkuu
Shukrani mkuu... Mungu abariki msikarishwe muda mrefuKila la kheri mkuu sisi wengine tunasubir simu pia
Kwakwel mkuu 🙏Shukrani mkuu... Mungu abariki msikarishwe muda mrefu
Ukifika tuu inatakiwa muiandikie barua ya kulipwa hiyo pesa ya kujikimu .Hapana mkuu wametuambia tu tusubiri mshahara tukiingiziwa mshahara tutaenda training fupi pale HQ then watatupa barua ya vituo iyo ya kujikim mpaka tukishaenda kwenye kanda tutazokuwa tumepangiwa
Ndio mnavyodanganyana ?Mbeba box ulaya anakipato mara 6 Cha mwalimu wa degree Kwa mwezi