Ngunya1
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 791
- 1,377
Uliza vitu vya maana au nenda mzena kenge wewenimekuelewa mkuu ila jamaa kanianza nimeuliza jambo kupewa mwongozi akanitukana tusi moja baya sana bila sababu
Uliza vitu vya maana au nenda mzena kenge wewenimekuelewa mkuu ila jamaa kanianza nimeuliza jambo kupewa mwongozi akanitukana tusi moja baya sana bila sababu
nadhani wakuu mnaona wenyewe matusi ya huyu boyaUliza vitu vya maana au nenda mzena kenge wewe
Nimekufuatilia nimegundua wewe ni kijana wa hovyo san mwenye kinywa kichafu sitakaa nikujibu tena, jitathiminiUliza vitu vya maana au nenda mzena kenge wewe
Uliza vitu vya maanaNimekufuatilia nimegundua wewe ni kijana wa hovyo san mwenye kinywa kichafu sitakaa nikujibu tena, jitathimini
Acha kujisumbua na huyo kijana chawaNimekufuatilia nimegundua wewe ni kijana wa hovyo san mwenye kinywa kichafu sitakaa nikujibu tena, jitathimini
Mzena ni hospitali ya Usalama wa Taifa hivyo watumishi huwa wanawapata kwenye mazingira yale yale yanayotumika kuwapata usalama wa Taifa ndio maana huwezi ona ikitangaza nafasiWakuu hivi wale Mzena Hospital ajira zao huwa hazipitii utumishi wanapataje madaktari na wahudumu wengine sijawahi skia wakitangaza kazi hata mara moja na ni taasisi ya kiserikali
Asante sana kwa muongozo mkuu wangu🙏Mzena ni hospitali ya Usalama wa Taifa hivyo watumishi huwa wanawapata kwenye mazingira yale yale yanayotumika kuwapata usalama wa Taifa ndio maana huwezi ona ikitangaza nafasi
Ni kama hospitali ya Jeshi Lugalo iko chini ya Jwtz hivyo watumishi pia wanapatikana katika mazingira hayo
Kaka nakuomba pmAsante sana kwa muongozo mkuu wangu🙏
Njoo utupe Ushuhuda wako: ulijisikiaje ulipoona mkeka wa kuitwa kazini na huna ndugu PSRS wala connection! Ukakutana na barua ya kuitwa kazini kwenye akaunti yako ya Ajira Portal.Nashukuru MUNGU,na mimi mkeka wa jana kanionekania
nimekucheki kakaKaka nakuomba pm
AsanteNjoo utupe Ushuhuda wako: ulijisikiaje ulipoona mkeka wa kuitwa kazini na huna ndugu PSRS wala connection! Ukakutana na barua ya kuitwa kazini kwenye akaunti yako ya Ajira Portal.
Asante sana kwa Ushuhuda wako. Nenda Kalitumikie Taifa sasa.
Hongera sanaaa 🙏🏿
Hongera mkuu mwez ujao usikose Trampa💪18/05
Asante,hongera kwetu soteHongera mkuu mwez ujao usikose Trampa💪
Hongera na kila la kheri18/05
Mwezi ujao mkuu kwenye tareh 20 na kitu inabidi uwahi kuripoti ili uanze kazi mapema upate Fursa ya kushiriki Kuna kaposho kanakuwepo😀😀Kumbe ni mwezi ujao?
Imepita shwaaa kama kindege cha aviator.Leo hakuna tena pdf😆
1.03XImepita shwaaa kama kindege cha aviator.