HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sio kweli wasiosoma ndio wanaishia hapo hapo kwenye written labda wabahatishe, written inabidi uwe umesoma pia na uwe na uhakika na unachojibu kwa asilimia 90 zisipungue hapo
Written ni bahati tu, hakuna kusoma Wala asiesoma .
Siku ya kwanza kufanya usaili nilifanya Mitihani miwili ya taasisi mbili tofauti, japo nilisoma lakini hakuna kilichotoka. Nilibahatika kwenda Practical zote mbili ila ikabidi nichague Moja tu kwani practical zilipangwa siku Moja mda mmoja, nashukuru mungu nilifanikiwa kuingia oral na sasa nasubiri mkeka.

Usaili Wangu mwengine nilifanya Mitihani miwili taasisi Moja , sikusoma Wala Nini, Pepa zilikuja ngumu Kwa bahati nilifaulu zote Kwa neema ya mungu, Moja niliongoza na nyengine ikawa yule mtu wa mwisho, zote nimeingia oral. Nipo nasubiri mikeka.
Kufaulu written za sasa za utumishi sio kusoma ni bahati tu.
 
mkuu sio bahati,na kama umesoma written bas oral unaasilimia kubwa kutoboa.
 
Usaili Wangu mwengine nilifanya Mitihani miwili taasisi Moja , sikusoma Wala Nini, Pepa zilikuja ngumu Kwa bahati nilifaulu zote Kwa neema ya mungu, Moja niliongoza na nyengine ikawa yule mtu wa mwisho, zote nimeingia oral. Nipo nasubiri mikeka.
Kufaulu written za sasa za utumishi sio kusoma ni bahati tu.
Ndugu waongopee hao hao Writtern Interview ya TRA ile km hujasoma hakuna kubahatisha mule maana kuna maswali hayana majibu sasa utabahatisha nini?

Naweza nikawa najadili jambo na mtu wa Political Science anaenda Practical bila kujua hapa kada yetu sisi haina sayansi ya siasa ni njia 2 tu haujui haupiti unajua unapita kwenda hatua nyingine kinyume na hapo hakuna ku-bet kwamba labda jibu ni B au A utafutafuta sana,

Watu km nyinyi nimekaa nao meza moja kwenye Written tuliyofanya kwa computer Lab somewhere in between mnafutafuta kishenzi sababu hamna majibu sahihi mnaishia kubahatisha bahatisha tu labda jibu ni hili labda jibu ni hili kumbe hamjui masikini ya Mungu mixer kuchungulia nani kajaza nini ili na nyinyi mjaze kwa kuibia ibia majibu mwisho mnajaza majibu ya uongo sababu hamjui mkibahatisha kwa kuibiaibia majibu ndio mnapita kwa kubatisha baada ya kuibiaibia majibu yaan mshadesa sana ndio mnavuka Written,

Lazima usome huwezi kujibu maswali km hujasoma na alietunga sio kwamba hajasoma km hujasoma lazima uchezee za uso tu na hata ukipenya ukafika Oral hufiki mbali hapo Oral ndio mwisho wako
 
Watu km nyinyi nimekaa nao meza moja kwenye Written tuliyofanya kwa computer Lab somewhere in between mnafutafuta kishenzi sababu hamna majibu sahihi mnaishia kubahatisha bahatisha tu labda jibu ni hili labda jibu ni hili kumbe hamjui masikini ya Mungu mixer kuchungulia nani kajaza nini ili na nyinyi mjaze kwa kuibia ibia majibu mwisho mnajaza majibu ya uongo sababu hamjui,

Lazima usome huwezi kujibu maswali km hujasoma na alietunga sio kwamba hajasoma km hujasoma lazima uchezee za uso tu na hata ukipenya ukafika Oral hufiki mbali hapo Oral ndio mwisho wako
Pole bro kama imekuuma lakini ukweli ndio huo, unaweza kusoma written na ukaishia hapo na wengine hawasomi na kila saili wanafika oral.
Unapewa Mitihani na majibu yamo umo umo unasoma Nini sasa?
 
Sio kweli Mzee na usinipe pole maana watu km nyinyi nimefanya nao Written mlikua hampigi book na nikawaacha wote nyuma mkashangaa mimi nimepita nimepitapitaje mkasahau kitabu kinaongea kitabu Baba kitabu hakidanganyi km umesoma umepiga kitabu haswa haina kubahatisha unasimama juu kule A+ utaonekana tu kinaanza kitabu ujuzi unafuatia acha kujidanganya eti nisisome nitapita tu hio haipo waongopee wengine utacheza chini ya mkasi
 
Inaonekana unaamini sana kwenye kitabu, bro watu hatufanani, ww endelea kusoma kila written, Tunakutana oral.
 
Na ndio mwisho wako hapo Oral kwenye pdf la kuitwa hujikuti mwisho unaanza kuuliza nakosea wapi kumbe unabahatisha mpaka Oral, oya watu wanafanya kweli hakuna kubahatisha
 
Ndugu waongopee hao hao Writtern Interview ya TRA ile km hujasoma hakuna kubahatisha mule maana kuna maswali hayana majibu sasa utabahatisha nini?

Naweza nikawa najadili jambo na mtu wa Political Science anaenda Practical bila kujua hapa kada yetu sisi haina sayansi ya siasa ni njia 2 tu haujui haupiti unajua unapita kwenda hatua nyingine kinyume na hapo hakuna ku-bet kwamba labda jibu ni B au A utafutafuta sana,

Watu km nyinyi nimekaa nao meza moja kwenye Written tuliyofanya kwa computer Lab somewhere in between mnafutafuta kishenzi sababu hamna majibu sahihi mnaishia kubahatisha bahatisha tu labda jibu ni hili labda jibu ni hili kumbe hamjui masikini ya Mungu mixer kuchungulia nani kajaza nini ili na nyinyi mjaze kwa kuibia ibia majibu mwisho mnajaza majibu ya uongo sababu hamjui mkibahatisha kwa kuibiaibia majibu ndio mnapita kwa kubatisha baada ya kuibiaibia majibu yaan mshadesa sana ndio mnavuka Written,

Lazima usome huwezi kujibu maswali km hujasoma na alietunga sio kwamba hajasoma km hujasoma lazima uchezee za uso tu na hata ukipenya ukafika Oral hufiki mbali hapo Oral ndio mwisho wako
Safi mkuu umeongea kama Mbunge wa chadema
 
Na ndio mwisho wako hapo Oral kwenye pdf la kuitwa hujikuti mwisho unaanza kuuliza nakosea wapi kumbe unabahatisha mpaka Oral, oya watu wanafanya kweli hakuna kubahatis

Na ndio mwisho wako hapo Oral kwenye pdf la kuitwa hujikuti mwisho unaanza kuuliza nakosea wapi kumbe unabahatisha mpaka Oral, oya watu wanafanya kweli hakuna kubahatisha
UMEPATA KAZI?
 
Why so serious?
Because you have to be serious, an interview place is not a place that you can bring any kind of joke you want, be serious kuna mwamba alinikazia macho akaniambia brother be serious we're all here for money hizi ni Pesa kaka kwa hio make sure unakua serious usifanye utani maana if you pass through you gonna be paid for that utalipwa Mshahara kwa kazi uliyoifanya na unayoifanya usichezee Pesa unazopishana nazo ukasema unabahatisha be serious, interview sio Jackpot Bingo
 
Kwaiyo kukaziwa macho unaogopa mpaka Leo ?
 
Back
Top Bottom