itsevginga
Member
- Jul 14, 2024
- 36
- 40
🤣🤣🤣🤣iko hivi kwa wale wageni na utumishi. ili kupata ajira za utumishi ni sharti upate vidonda vya tumbo ndo unazipata na zenyewe sasa..
🤣🤣🤣🤣iko hivi kwa wale wageni na utumishi. ili kupata ajira za utumishi ni sharti upate vidonda vya tumbo ndo unazipata na zenyewe sasa..
Wameita idadi yote???Khaa nimeliewa kichwa hatimae PDF letu limetoka me simo ila hkn kukata tamaa 💪🏾 💪🏾
Hongera Sana kiongozi 👏👏Wakuu habari zenu,,hatimae na mimi nimelamba asali mkeka wa jana jioni,,msikate tamaa Subra ni ngumu ila usikate tamaa Muombe Mungu atajibu kwa wakati sahihi na fanyeni zile ibada za usiku zinalipa jamani huo ushuhuda wangu,,Mungu ni mwema jaman
Hongera sana mkuuMechanical, 05/06
Ndio hivo kitu cha kuingia oral hata kama nafasi moja na mmeitwa 1000Sisi zilikuwa 13 tumeitwa 79
Duh had leo hujaitwa na ulinitangulia placement? Hyo n halmashaur au taasisBado mkuu. Nafikiri atakuwa HR tu maana ndiye anaajiri.
yaani hizi ajira mpaka ufike ofisini wanahakikisha unafika unatembelea magoti.. 🤣 🤣Duh had leo hujaitwa na ulinitangulia placement? Hyo n halmashaur au taasis
Yaan ukifika unaheshim kazi aufany ujinga😆😆yaani hizi ajira mpaka ufike ofisini wanahakikisha unafika unatembelea magoti.. 🤣 🤣
😆😆Itakuw mataasis ndo yanafanyaga hvyoyaani hizi ajira mpaka ufike ofisini wanahakikisha unafika unatembelea magoti.. 🤣 🤣
Yaan ukifika unaheshim kazi aufany ujinga😆😆
aisee sio poa sjui wanamatatizo gani yaani mtu unafufurahi umeshapata kazi kumbe bado upo kwenye usahili wa uvumilivu...🤣 🤣😆😆Itakuw mataasis ndo yanafanyaga hvyo
Post za kada gani mkuu?Sisi zilikuwa 13 tumeitwa 79
Usaili wa uvumilivu imekaa vizuri sana hii statement.😂😂aisee sio poa sjui wanamatatizo gani yaani mtu unafufurahi umeshapata kazi kumbe bado upo kwenye usahili wa uvumilivu...🤣 🤣
🤣 🤣 hapo kama msumbufu unawapigia simu ovyo wanapunguza marks tu mwisho wa siku unakua below fifty unashangaa nafasi imekua RE-ADVERTISED..Usaili wa uvumilivu imekaa vizuri sana hii statement.😂😂
wewe bado hujaitwa mkuu? ni taasisi au?Bado mkuu. Nafikiri atakuwa HR tu maana ndiye anaajiri.
Habari za jioni wote, Leo ni siku ambayo nilikuwa naisubiri ifike, hatimae leo ni siku ambayo mungu alikuwa amepanga kwa ajiri yangu, Namshukuru mungu leo imekuwa siku nzuri sana kwangu kulamba asali nono, nachoamini hamna kukata tamaa ni uvumilivu na kumuomba mungu kila mtu ana wakati wake sahihi ambao kapangiwa na mungu, Ambao bado hamjapata endeleeni kuvuta subra mungu ndo kila kitu ni maombi tu
Afyataasisi gani?
😃😃😃Hhahaha mkuu mm kwenye my application ndo pako selected for oral.ila kwenye my interview pako blank😃😃😃Ko uniamini Ebu sema status yako nikwambie ukweli
Sema tawile......
andaa suti😃😃😃Hhahaha mkuu mm kwenye my application ndo pako selected for oral.ila kwenye my interview pako blank😃😃😃
Bado. Ni serikali kuuwewe bado hujaitwa mkuu? ni taasisi au?