Ulizia ulizia huko jikoniSifahamu..
Ulizia ulizia huko jikoniSifahamu..
Kila taasis inautaratibu wake...wengine wanauhitaji wa haraka na wengine sio wa haraka...Ulizia ulizia huko jikoni
Mwaka wa Serikali unaanza na kuisha JulyNi December 😃
Sasa hapa unalipataje?Ndugu naomba msaada kama kuna group la interview ya wahasibu la kudiscuss mambo.
Hususani Accountant 11.
Nimeleta ombi ..naamini kuna wajuvi humu wanaweza kuwa wanalink hizo watanisaidia..Sasa hapa unalipataje?
Sizani maana mwaka jana mbona placement zilikuwa zinatoka kama kawaida tuu mwezi wa 7, Maybe kuna issue wanakamilisha ndio watoe pdfNaona ni inshu ya kibajeti kwa mwezi huu wa saba kuna fungu lilitengwa kwa ajira mpya hivyo wanasubiri after payment ya mwezi wa 7 then watoe pdf kama kawaida.
Vipi kale kautaratibu wallikosema tutakuxa tunaona kwenye account zetu kama tupo databse qu la,lini utaanza huu utaratibu?Ooh mwanzo wa mwaka...wanaupdate mifumo...
Payroll hutengenezwa na taasisi?.Kila taasis inautaratibu wake...wengine wanauhitaji wa haraka na wengine sio wa haraka...
Wenge haraka, mtu ukitoka tu utumishi unaenda kuripoti na kuwekwa kwenye payroll..
Taasisi hujaza taarifa zako na kuzituma hazina...mkeka wa hazina wa payroll ukitoka (trh 15-17) ukiwa hauna shida bas utapokea mzigo na kuripoti jobPayroll hutengenezwa na taasisi?.
Usijali mkuu utafikiwa tu, mambo yapo kwa seriesIT Aanaikwepa sana tarehe 10 June 😞
AmenUsijali mkuu utafikiwa tu, mambo yapo kwa series
Sijui kwanini wanaturuka sisi wamerukia tarehe 28 jamani🤦🏾♀️mzigo ushatoka
Relax, kama ni yako itabaki kuwa yako, anaweza kuitaja hy trh na ww usiwepo mana umeongeza utadhani umewekeana nae ahadi akuwekeIT Aanaikwepa sana tarehe 10 June 😞
Itakuwa wanaandaa pdf la tarehe tajwaIT Aanaikwepa sana tarehe 10 June 😞