Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 3,193
- 5,241
Siku nipata placements sio. Ila issue ni kuwa nashindwa kupita written kuingia oral aiseezinageuka kuwa plced as zote
Siku nipata placements sio. Ila issue ni kuwa nashindwa kupita written kuingia oral aiseezinageuka kuwa plced as zote
Hongera sana, ila ulisafaWADAU NIMEANZA KUFANYA INTERVIEW MWAKA 2022 NA NIMEFANYA INTERVIEW 5 NA INTERVIEW MOJA TU,NDIYO NIMEINGIA ORAL NA HIYO HIYO NDOYO IMENIPATIA KAZI.
NAWASHUKURU WADAU KWA KUTUTIA MOYO HAKIKA MAOMBI YANALIPA,MWIFA SHUKRANI BRO NILIKUFATA UKANIPA MOYO SANA.
WADAU SIAMINI MJUE COZ NILIPATWA NA KIWEWE KWENYE ORAL ILA NILIJIBU VIZUT JAPO NGELI ILINIKIMBIA KIDOGO ILA SIKITOKA NJE YA MCHEZO NA HATIMAYE NIMEPATA.
TUSIKATE TAMAAA
Mwez wa 5 ndo wamemaliza japo siyo zoteWamefikiwa sasa watu wa mwezi wa 6 Walete shuhuda
nilichojifunza kuhusu writtenSiku nipata placements sio. Ila issue ni kuwa nashindwa kupita written kuingia oral aisee
Mmh mkuu wewe utakuwa ni diploma mimi Bachelor huwa ni kuchagua kaka multiple choice kakanilichojifunza kuhusu written
Kwanza written sio ya kusoma kabisa unaweza soma A wakatoa B maana ni usahili wa mchujo
Pili written jibu short and clear kuna written moja hivi wadau walikuwa wanaomba karatasi hadi tatu ila waliofaulu sana ni wale waliotumia karatasi moja tu
Wwritten za utumishi ni kama kucheza alba sitini wengi waliofaulu hawajui walifauluje
Umepigiwa simu mkuu?Wakuu kuna mtu wa TBS umu?
Hata ukichomoka hapo Oral sio rahisi km unavyodhaniAcha tu mkuu not selected zimekuwa ni ngingi mimi oral kwangu sio changamoto imekuwa mtego kuchomoka hapaa
Sio kweli wasiosoma ndio wanaishia hapo hapo kwenye written labda wabahatishe, written inabidi uwe umesoma pia na uwe na uhakika na unachojibu kwa asilimia 90 zisipungue hapoKwanza written sio ya kusoma kabisa unaweza soma A wakatoa B maana ni usahili wa mchujo
Multiple haina Degree wala Diploma kote ipoMmh mkuu wewe utakuwa ni diploma mimi Bachelor huwa ni kuchagua kaka multiple choice kaka
Walimu waniniwalimu mmewapa nini utumishi..
Hapa umeongea ukwelinilichojifunza kuhusu written
Kwanza written sio ya kusoma kabisa unaweza soma A wakatoa B maana ni usahili wa mchujo
Pili written jibu short and clear kuna written moja hivi wadau walikuwa wanaomba karatasi hadi tatu ila waliofaulu sana ni wale waliotumia karatasi moja tu
Wwritten za utumishi ni kama kucheza alba sitini wengi waliofaulu hawajui walifauluje
Hapan nimepangiwa tu naulizia maybe kam kuna mtu umu wa iyo taasisUmepigiwa simu mkuu?
Anhaa ile batch ya kwanza au hii ya juzi?.Hapan nimepangiwa tu naulizia maybe kam kuna mtu umu wa iyo taasis
Ya juzi mkuuAnhaa ile batch ya kwanza au hii ya juzi?.
Anhaa hongera mkuu, sisi tulikua contena lile la kwanza ila mpaka leo simu hazijaitaa.Ya juzi mkuu
Anhaa hongera mkuu, sisi tulikua contena lile la kwanza ila mpaka leo simu hazijaitaa.
Huu utaratibu wa kupigiwa simu ni kwa kila taasisi?Anhaa hongera mkuu, sisi tulikua contena lile la kwanza ila mpaka leo simu hazijaitaa.
Mbinu ni kusoma serius,unarudi shule kabisa sio mchezoKwani nyie mnao faulu interview written kwani huwa mnafanya fanyaje aisee mimi imekuwa ni kipengere na changamoto mno
Sijajua ila naona wengi ndiyo hivyo. Ila Ni headache.Huu utaratibu wa kupigiwa simu ni kwa kila taasisi?
Check PM mkuuSijajua ila naona wengi ndiyo hivyo. Ila Ni headache.