saemonity
Senior Member
- Sep 13, 2016
- 166
- 261
Shukrani. Mungu atafanya na kwako pia.Hongeren pale mnaenda kula shavu nmefanya internship pale
Shukrani. Mungu atafanya na kwako pia.Hongeren pale mnaenda kula shavu nmefanya internship pale
Interesting...Because you have to be serious, an interview place is not a place that you can bring any kind of joke you want, be serious kuna mwamba alinikazia macho akaniambia brother be serious we're all here for money hizi ni Pesa kaka kwa hio make sure unakua serious usifanye utani maana if you pass through you gonna be paid for that utalipwa Mshahara kwa kazi uliyoifanya na unayoifanya usichezee Pesa unazopishana nazo ukasema unabahatisha be serious, interview sio Jackpot Bingo
Labda hakusoma ila alikua na ideas Kuna watu ni ma genius you can't compare themBecause you have to be serious, an interview place is not a place that you can bring any kind of joke you want, be serious kuna mwamba alinikazia macho akaniambia brother be serious we're all here for money hizi ni Pesa kaka kwa hio make sure unakua serious usifanye utani maana if you pass through you gonna be paid for that utalipwa Mshahara kwa kazi uliyoifanya na unayoifanya usichezee Pesa unazopishana nazo ukasema unabahatisha be serious, interview sio Jackpot Bingo
Hakuna kitu km hicho hakuna kabisa zile Written hazinaga ujiniazi nimeenda Written tofauti tofauti usijitie ujiniazi utachezea za usoLabda hakusoma ila alikua na ideas Kuna watu ni ma genius you can't compare them
Written kama kamari tu nawaambia watu wananibishiaHakuna kitu km hicho hakuna kabisa zile Written hazinaga ujiniazi nimeenda Written tofauti tofauti usijitie ujiniazi utachezea za uso
Endelea hivyo hivyo kila mtu anavuna alichopanda kwa hio wewe km unapanda mchungwa usitegee utavuna limaoWritten kama kamari tu nawaambia watu wananibishia
Written ukijiandaaa sana ndio unafeli
Nishawahi fanya written moja nikiwa nimelewa na sikusomaaa kabisaaa ndio nilifaulu
Written zingine zote nilizowahi zikeshea niliishia kula za uso
AmenShukrani. Mungu atafanya na kwako pia.
Sawa MunguEndelea hivyo hivyo kila mtu anavuna alichopanda kwa hio wewe km unapanda mchungwa usitegee utavuna limao
Mungu mkubwa mimi nimesema endelea hivyo hivyo kubahatisha interview usisome wala usijikumbushe utavuna ulichopandaSawa Mungu
haya ngoja tuone ipo siku ntakuja kutoa ushuhuda hapa wa placementMungu mkubwa mimi nimesema endelea hivyo hivyo kubahatisha interview usisome wala usijikumbushe utavuna ulichopanda
Mungu ni mwema jamaa hakika mambo mazuri yanakuja lkn usiende kwenye mambo ya serious kama hayo ukiwa umelewa ni mbayahaya ngoja tuone ipo siku ntakuja kutoa ushuhuda hapa wa placement
😁tutakuwepo
Nilikuwa nachagiza tu mkuu si kweli ila najaribu kuelewesha kuwa usahili wa mchujo (written ) mara nyingi hauna mwenyeweMungu ni mwema jamaa hakika mambo mazuri yanakuja lkn usiende kwenye mambo ya serious kama hayo ukiwa umelewa ni mbaya
Hawana mamlaka mkuu ni mpaka utumishi wa arrange interview ni zaid ya miez 3Wakuu hivi hawa TFS wanaona kweli maombi yetu kwenye servers zao
Mkuu huto tu vitu ndio point zenyewe ukiona zitoe hapa tupate wote wengine imekua ni changamoto sanaNilikuwa nachagiza tu mkuu si kweli ila najaribu kuelewesha kuwa usahili wa mchujo (written ) mara nyingi hauna mwenyewe
Kuna watu vipanga wazuri tu ila written huwa zinawatoa knock out.
Written nyingi za utumishi zinahitaji knowledge kiasi , kuwa specific to the point kama ni ya kuelezea na confidence tu
Mengine ni bahati na kudra za Mwenyezi Mungu
Ila unaweza ukakesha ukisoma na written ukaishia kula knock out.
Sisemi watu wasisome ila usahili wa mchujo una tuvitu vitu na bahati ikihusika.
Naongea kwa ushahidi
Nilifanya Moja, ni multiple choice 30. Ila mkuu usikazie sana take it easy.Ivi written interview za tutorial assistant zinakua essay,multiple choice au short notes...mwenye uzoefu?