Recent content by Ruth

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kutoka ute mzito mweupe (usaha) kwenye uume

    JF Dr. Naomba mnisaidie hili, Mume wangu alianza kusikia maumivu kwenye kichwa cha uume anapokojoa baada ya siku kama nne maumivu yaliendelea kupanda juu, baada ya siku kama tatu maumivu yalikoma ukaanza kutoka ute mzito mweupe kama usaha wakati mwingine mpaka chupi aliyoivaa inachafuka...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tabora iliyodidimia inahitaji kuinuliwa...

    Aisee, kumbe...........
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tabora iliyodidimia inahitaji kuinuliwa...

    Sijakuelewa, una chuki na Maggid au................. Hope amesema anachoona yeye na si aseme unachotaka wewe.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ultra sound

    Habari, Naomba mnisaidie Ultra Sound huwa inacost kiasi gani? Nipo Dar.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mtoto anaanza kucheza mimba ikiwa na muda gani?

    Thx BornTown.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mtoto anaanza kucheza mimba ikiwa na muda gani?

    Naomba mnisaidie mtoto anaanza kucheza mimba ikiwa na muda gani, mimi nina ujauzito wa miezi minne, ni ujauzito wangu wa kwanza, sijaexperience hiki kitu.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Legalised copy ni nini?

    Peleka kwa mwanasheria copy ya vyeti vyako akugongee muhuri, ndo mana yake.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kujua ujauzito una muda gani

    Habari zenu JF Doctors. Naitwa Ruth, Ninafurahi coz nadhani nina ujauzito, nilipima jana kutumia zile home pregnant test, ikaonyesha positive. Naomba mnisaidie kujua ujauzito wangu utakuwa na muda gani? Tarehe ya mwisho kuanza MP ni tarehe 29.06.2011, huwa mzunguko wangu ni siku 28-30. Pia...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mtoto afukuzwa shule kwa kumuuliza mwalimu 'dagaa anaitwaje kwa kiingereza'

    Hahahah! lol! hii kali! Mbavu zangu zinauma!
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mtoto afukuzwa shule kwa kumuuliza mwalimu 'dagaa anaitwaje kwa kiingereza'

    Hahahaha! JF bana, naweza timuliwa ofisini kwa kicheko! lol!
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kongosho!!!?

    Kongosho ni Pancreas kwa kiingereza, nadhani ndiyo inatengeneza/ inaregulate Insulin Mwilini. I stand to be corrected!
  12. R

    JamiiForums Tanzania OBAMA follows me

    Hahahahh! lol! watu mnachekesha yaani, sina mbavu!
  13. R

    JamiiForums Tanzania Hapa sijaelewa...

    kurasa ndo nini? na kipele ndo nini?
  14. R

    JamiiForums Tanzania Nani mwongo zaidi?

    hapo umenena mkuu!
  15. R

    JamiiForums Tanzania KERO ya Walokole: JE, watengwe na makazi ya watu?

    Ndugu yangu, Humwogopi hata mungu? Nahisi wewe huna dini kabiosa! Baa zilizopo karibu na makazi ya watu, na yanapiga miziki usiku kucha wewe huoni kama ni kelele. Ngoma wanazocheza waswahili kila kukicha kumtoa mwali usiku kucha tena wakati mwingine siku mbili mpaka tatu huoni kama ni kelele...
Back
Top Bottom