Legalised copy ni nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Legalised copy ni nini?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Sizinga, Nov 22, 2011.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  E bana eeh, kwenye hii form ya Scholarship for Masters jamaa wanataka nisubmit legalised copy ya cheti changu.
  Sasa sijajua hii legalised copy ndiyo kitu gani?? Je hii ina tofauti na certified copy??(coz wanataka legalised copy ambayo iko sealed na stamped from Belgian embassy). Au nipeleke tu vyeti vyangu pale embassy halafu wao ndio watapiga stamp na seal yao...hembu nipeni expirience hapa wenye uzoefu.

  Angalia hiki kipengele:

  • Alegalised copy of the basic diploma (i.e. the diploma on which the admission would be based) and its transcript of records (report card – results of each academic year). These should bear the original seals and stamps from the Belgian Embassy. If your country is party to the “The Hague Treaty”, an original “Apostille” is required. For more information on the correct legalisation procedure applicable to you: Federal Public Service for Foreign Affairs, Foreign Trade and Development Cooperation ;
  Please note that if your basic diploma is a Master diploma following a Bachelor diploma, you are required to provide all transcript of records for each academic year of both Bachelor and Master. Applications submitted WITHOUT legalised diploma’s will not be accepted.

  Nimechanganyikiwa hapo.
   
 2. R

  Ruth Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Peleka kwa mwanasheria copy ya vyeti vyako akugongee muhuri, ndo mana yake.
   
 3. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Sasa unashindwa kuwasiliana ili wakupe ufafanuzi ili msome kwenye ukurasa mmoja? Au kidhungu chako kina u-lowassa ndo maana unaogopa kukoroga mambo?
   
 4. Chona

  Chona JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 512
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 45
  Pole sana. Ila procedure ipo hivi.
  Toa copy vyeti vyako. Nenda na copy zako na original wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa. Ukifika maulizo waeleze unataka kucertify vyeti vyako. Utaelekezwa sehemu ya kwenda. Ukifika hapo watahitaji original, baada ya kuzikagua watakugongea muhuli wa kucertify kuwa ni vyeti halali baada ya kuona original kwenye hizo copy ulizotoa. Baada ya hapo nenda ubalozi wa Belgium kalibia na Aga Khan Hospital pale utawaonesha vyeti vyako na copy ulizocertify Wizarani. Nao watakugonge muhuli wa kucertify pia kwnye copy zilezile ulizocertify wizarani. Kumbuka kule wizarani huduma hii ni free na si kila siku nadhani ni J4 na Alhamisi kabla ya saa 6 Mchana. Pale ubalozini unatakiwa kulipia. Wanacharge kwa copy unazotaka wa certify wao. Ni kama 10000+ kwa copy sijui sasa ni Tsh ngapi. Then ukimaliza unaweza kuendelea na utaratibu wako wa Application kama ni kutuma powa tu.

  All the best in your application cause scholarship has never been something very easy. You need to apply more and more and then at the end u get it. Kitu cha msingi ni kufuata procedure wanazozitoa wao, ingawa kuzitimiza pia sio guarantee ya kupata.
   
 5. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Bonge la pro borno advice. Mshukuru sasa!
   
 6. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180


  Dah....aise, thanx a lot bro....real appreciate
   
 7. D

  Dotowangu JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  beligium sio pa kwenda kaka...wana economic crisis we acha.. Jaribu kuulizia kabla hujaingia gharama vinginevo unaweza kukuta unapoteza myuda vyako..
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Nov 23, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Nadhani wanataka notarized copies. Nenda kwa notary public yeyote akugongee muhuri.
   
 9. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #9
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  nAFATILIA PIA HILI SUALA....NOTABLE!!! BT KUSOMA IS OK SEMA VILE VITEMPO NDO INAKUWA KAZI KUVIPATA
   
 10. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #10
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  mKUU HAIPO HIVYO...UTARATIBU NDIO HUO JAMAA KAULELEZEA HAPO JUU, ITS NOT THAT MUCH IZE
   
 11. Kizimkazimkuu

  Kizimkazimkuu JF-Expert Member

  #11
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 336
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Mkuu Sizinga,

  Utaratibu wa ku"legalize" documents zako ni kama CHONA alivyokueleza na hauko complicated; labada hapo Foreign affairs wabongo wakuzingue na kukuomba rushwa lakini it is a straight forward procedure. naona kuna watu wanataka kukukata stimu na story za kizushi kuhusu "economic crisis". nafikiri iko wazi kila mtu anajua Europe inapitia kipindi kigumu kiuchumi lakini kama unapata scholarship wewe haya hayakuhusu; ad as a matter of facts, belgium sio moja ya nchi iliyoathirika kihivyo. If you don't mind ni PM we can diacuss more I have some experience with Belgium, as I am currently here studying.
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Nov 23, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Oh okay.
   
 13. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #13
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180

  Dah aisee, what lucky is this...nilikuwa natafuta mtu mwenye kujua au kuishi huko anipe some expirience...so hope u can make it...nitakuPM within very few days, and i will tell u everything!!
   
 14. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #14
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180

  Ndo hivyo man, ukongwe wote kumbe haya mambo hukuyajua??duh
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Nov 23, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mi najua kuhusu notary public. Sasa sijui tofauti yake na hiyo aliyoelezea jamaa ni ipi. Waweza kunijuza?
   
 16. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #16
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180

  Ok subiria hivyohivyo nitakuelekeza!! Certification inabidi ipitie wizara ya mambo ya nje bandugu
   
Loading...