Mtoto anaanza kucheza mimba ikiwa na muda gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto anaanza kucheza mimba ikiwa na muda gani?

Discussion in 'JF Doctor' started by Ruth, Nov 24, 2011.

 1. R

  Ruth Member

  #1
  Nov 24, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba mnisaidie mtoto anaanza kucheza mimba ikiwa na muda gani,
  mimi nina ujauzito wa miezi minne, ni ujauzito wangu wa kwanza, sijaexperience hiki kitu.
   
 2. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2011
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  hongera kwakuwa mama mtarajiwa anaanza kucheza tumboni mimba ikiwa na miezi 5 but inategemea na uchangamfu wake huko alipo wengine miezi 4 na nusu
   
 3. R

  Ruth Member

  #3
  Nov 24, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thx BornTown.
   
 4. m

  mareche JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  akiona kichwa cha muhogo unamkaribia ataanza kucheza
   
 5. S

  Sina pa kwenda Senior Member

  #5
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Bangi mbaya
   
 6. dulao

  dulao JF-Expert Member

  #6
  Feb 6, 2015
  Joined: May 29, 2014
  Messages: 306
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajanvi, naomba msaada wa kutaka kujua ni mimba ya miezi mingapi mtoto anaanza kusikika akipiga au akicheza maana MDOGO wangu wiki ya 20 lakini bado hajasikia.
   
 7. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #7
  Feb 6, 2015
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,351
  Likes Received: 2,690
  Trophy Points: 280
  Kati ya wiki ya 16 hadi 25...

  Wanawake wengi hupata tabu kung'amua kwa mimba zao za kwanza...

  Lakini kipimo cha Ultra Sound huweza kuona movements mapema zaidi ya hapo...

  Je kashafika kliniki au kufanya ultra sound?
   
 8. dulao

  dulao JF-Expert Member

  #8
  Feb 6, 2015
  Joined: May 29, 2014
  Messages: 306
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utrasaund bado na clinic bado
   
 9. MankaM

  MankaM JF-Expert Member

  #9
  Feb 6, 2015
  Joined: Apr 20, 2013
  Messages: 9,493
  Likes Received: 404
  Trophy Points: 180
  aanze clinic mapema atajua tu
   
 10. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #10
  Feb 6, 2015
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,351
  Likes Received: 2,690
  Trophy Points: 280
  Duh!

  Mnaishi kijijini sana au? fanyeni mpango wa kufika kliniki mapema muwezavyo...
   
 11. Kertel

  Kertel JF-Expert Member

  #11
  Feb 6, 2015
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 2,439
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  wiki ya 20 alaf clinic hajaanza?
   
 12. Tamalisa

  Tamalisa JF-Expert Member

  #12
  Feb 7, 2015
  Joined: Feb 3, 2015
  Messages: 2,540
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  wana masikhalaaa hawa
   
 13. Hornet

  Hornet JF-Expert Member

  #13
  Feb 7, 2015
  Joined: Apr 29, 2013
  Messages: 10,512
  Likes Received: 3,891
  Trophy Points: 280
  hivi wiki ya 20 ni miezi mingapi?
  Wangu alianza na miezi mitano kama sijasahau
   
 14. Kiboko.

  Kiboko. JF-Expert Member

  #14
  Feb 8, 2015
  Joined: Jul 31, 2013
  Messages: 2,675
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Weka ngoma za Diamond platnum hapo "Mdogomdogo" uone kama hatocheza mkuuu
   
 15. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2015
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,861
  Likes Received: 1,137
  Trophy Points: 280
  Tobaaaaa....
   
Loading...