Hapa sijaelewa...

Magezi

JF-Expert Member
Oct 26, 2008
3,359
692
Hivi inakuwaje nikijaribu kupekua kurasa nashikwa mkono na kuelekezwa kwenye kipele, najaribu kusugua kipele mara natolewa mkono tena naelekezwa kwenye kurasa sasa mimi nashindwa kuelewa ni wapi hasa mwenzangu anapendelea?

Akina dada/mama naomba msaada kwa hili.
 
WOTE HAWAKO SAWA NA UWEZI KUPATA JIBU SAHIHI KUTOKA KWA WA MWENZIO, HUYO HUYO ANAYEUAMISHA MKONO WAKO NDIO ANA JIBU
hivi kweli GREAT THINKER unashindwa kumuuliza huyo wako?
 
Si kila kitu ni kitamu kila wakati; wakati mwingine utamu upo ktk kipele na wakti mwingine ktk kurasa. Ni suala la muda tu
 
Hivi inakuwaje nikijaribu kupekua kurasa nashikwa mkono na kuelekezwa kwenye kipele, najaribu kusugua kipele mara natolewa mkono tena naelekezwa kwenye kurasa sasa mimi nashindwa kuelewa ni wapi hasa mwenzangu anapendelea?

Akina dada/mama naomba msaada kwa hili.
kurasa ndo nini? na kipele ndo nini?
 
Hizi Lugha zingine hapa JF wengine tunatoka kapa kabisa, jamani ongeeni kwa herufi ndogo kha!.
 
kurasa ndo nini? na kipele ndo nini?

Kurasa ni 'page', kama za kitabu vile.
Kipele ni kijiuvimbe kidogo kinachotokea mwilini, wakati mwingine huwasha.
Labda kama hutaki kuelewa!
;)
 
Hivi inakuwaje nikijaribu kupekua kurasa nashikwa mkono na kuelekezwa kwenye kipele, najaribu kusugua kipele mara natolewa mkono tena naelekezwa kwenye kurasa sasa mimi nashindwa kuelewa ni wapi hasa mwenzangu anapendelea?

Akina dada/mama naomba msaada kwa hili.

Hebu changanya kipele na kurasa uone. Bila shaka atashikilia hapo hapo.
 
ha ha ha ha yaani unamaanisha sekunde moja kipele sekunde nyingine kurasa au kama mpiga drums vile!! weekend imeeenza vema!!Lol!
 
Kama vile unapiga pasi vile up , down in combination ? Umeelewa ? he he he . Sio mchezo lazima akubali
 
Kanunue kamusi ya kiswahili....TUKI, BAKITA can help you on this!:cool:

aaaaah Roy Roy sema usikike bana!!!
vipi Bakuli na mwiko vinaoshwaje siku hizi?? (aaah bado kwaresma....samahani kama utakuwa umekwazika)
 
Back
Top Bottom