Ultra sound

inagharimu kama tshs 20,000 to 40,000
inategemea unafanyiwa ultrasound ya wapi, kuna pelvic (kwa kuangalia kizazi kwa juu), kuna vaginal (inaangalia ndani ya kizazi) kuna ya tumbo, titi etc

madhara:
kwanza ultra sound inapigwa kwa kupaka gel kwenye eneo husika. hiyo gel inasaida kuunganisha ama kukuza (conductor) mawimbi yanayosikiliziwa ili kuunda picha. hakuna mgusano wa moja kwa moja na ndani ya mwili hivyo bado inafikiriwa kuwa hakuna madhara ya kutumia ultra sound. kwa mfano tu wa picha ya ultra sound ya kizazi chenye mtoto...
4AAAAASUVORK5CYII=
 
Habari,
Naomba mnisaidie Ultra Sound huwa inacost kiasi gani?
Nipo Dar.
Kununua mashine ya Ultrasound au kupiga picha ya ultrasound?
Kama ni kununua ni aina gani unahitaji 2D,3D,4D? Toshiba, Siemens, etc,Any other specifications? Used/New?
Kama ni kupiga? ni ya eneo gani? Cranial (for neonates),Heart (ECHO),Breast(mammography),Abdominal,Pelvic au Obstetrical?,Doppler ?
Jaribu kufafanua kidogo usaidiwe...........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom