Kujua ujauzito una muda gani

Ruth

Member
Jul 27, 2009
26
2
Habari zenu JF Doctors.
Naitwa Ruth,
Ninafurahi coz nadhani nina ujauzito, nilipima jana kutumia zile home pregnant test, ikaonyesha positive.
Naomba mnisaidie kujua ujauzito wangu utakuwa na muda gani? Tarehe ya mwisho kuanza MP ni tarehe 29.06.2011, huwa mzunguko wangu ni siku 28-30.
Pia nasikia maumivu ya tumbo sehemu ya chini ya kitovu na tumbo kujaa gesi, is it normal?
Dr. Riwa na wengine please nasubiri jibu.
Thanks.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom