popiexo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 742
- 184
Na Mbunge nae ni tatizo kwa Tabora inayodidimia ambayo inahitaji kuinuliwa. Wanyamwezi ni watani zangu, ninadhubutu kuwaambia kwamba kichwani mwao wamebebe bweha na wala siyo akili, kweli wangekuwa na akili wangemchagua Aden Rage kuwa Mbunge wao? Hebu nyie wanyamwezi msiokuwa na akili niwarudisha nyuma kidogo, kabla ya kumpa mtu madaraka ya kukuongoza au kukufanyia jambo fulani inabidi kwanza uangalie background yake.
Kwa mfano' Jeshi la Israel chini ya kamanda wao LT.COL Jonathan Netashahu waliomba kwenda Entebe Kijeshi kuwaokoa mateka wa ki.Esrael waliokuwa wamehifadhiwa huko huko enzi za utawala wa Idd Amin mwaka 1976. Bunge la Israel (knesset ) halikukubali ombi hilo kichwa kichwa waliwauliza kwanza waeleze waliisha fanikiwa mission ngapi kama hizo huko nyuma? kabla ya ombi lao hilo? Jibu lilikuwa rahisi sana , shirika lao la ujasusi (MOSSAD) ambalo wote ni wanajeshi walijinasibu:-
1. Waliiiba RADA ya kirusi huko Bagdad wakaipeleke Kwao Israel wakaisomaaaaa kiundani na kisha kuirudisha Bagdad bila warabu kujua.
2. Waliangusha jengo la makao makuu ya PFLP huko Bairut Lebanon jengo la gorofa sita kwa dakika chache sana kidogo na Carlos Jambazi anaswe ndani. N.K
Ndipo Bunge la Israel likawaruhusu haya nendeni mkafanye kazi hiyo, kilichotokea ulimwengu wote ulishuhudia, nakumbuka tarehe 4 July redio na TV zote duniani zilizungumzia tukio hilo tu la ki-historia.
Sasa nyie Wanyamwezi mlipompa Ubunge Rage mlikuwa mnafahamu background yake?
Ngoja niwasaidieni- MTU HUYU RAGE:-
1. Mwaka 1883 aiwa kwetu Dodoma kama muajiliwa wa CDA yeye na maafisa wenzake tisa walifukuzwa kazi na Nyerere kwa ubadhirifu japokwa yeye alikuwa stationed DSM kama clearing anf forwading Officer.
2. Miaka ya theminini au tisini akiwa ni katibu mkuu wa DRFA mafanikio aliyopata ni ugomvi tu na serikali wakigombea uwanja wa Kerume
3. Miaka iliyofuata akawa katibu mkuu wa Klabu ya Simba , mafanikio aliyopata ni Simba kutaka kushuka daraja shukrani kwa Yanga kukubali kufungwa 2 kwa 1.
3. Mtu huyu Rage akawa katibu mkuu wa FAT, mafanikio;
a. Ugomvi na serikali
b. kuzaliwa kwa sheria ya 18 ya FIFA,timu ya nyumbani lazima ishinde.
sheria hii ikapelekea Mpira wa Bongo ukashuka kabisa, kabisa hadi
Mzee Mwinyi kuiita timu ya Taifa kichwa cha mwenda wazimu.
C. Akitokea FAT alikuja huko Tabora kugombea Ubunge mwaka 1995
kwenye kura za maoni Rage aliongoza kwa kura nyingi lakini Kamati
kuu na Nyerere akiwepo walikata jina lake asubuhi subuhi kwa sababu
waliona Randlover 109 ikigawa ruswa akatuhumiwa mgombea aliyeku
wa anapenyeza mlungula ni yeye Rage( Usicheze na Nyerere);
D. Baadae akafungwa kwa wizi japokuwa aliweza kukata rufaa na baa
dae kutoka kwa rufaa hiyo akiwa teyari kamaliza kifungo.
Sasa mtu mwenye background kama hiyo ndo kweli wa kumpa dhamana ya Ubunge ili awe chachu ya maendeleo? Hamjifunzi kwa Israel tu? Halafu nyie wanayamwezi hivi unavyofuga fisi unategemea fisi huyo atatembelewa na swala? kama siyo fisi wenzake? Basi jitayarisheni kuvamiwa na Ma ELSHABABU. Kwa hili Tabora ididimie ife kabisa Mbwa nyie.
Blayi wa Mpwapwa.
Nimeishi Tabora mika tisa, kazi kwelikweli!! Hawa watu utafikiri waling'olewa vichwa wakawekewa nazi.