Recent content by Roby G

  1. Roby G

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu katika Halmashauri ya Mkalama tulioajiriwa Januari 2026, tumelipwa hela za kujikimu pungufu

    Hamjitambui acheni kazi mnafanya ya nn unalialia tu andika barua acha kazi
  2. Roby G

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu ajira mpya Halmashauri ya Mkalama tumelipwa TZS 250,000 badala ya 925,000

    Walimu hua hamuishi kulialia tu ajira uliomba ya nini mkikosa ajira mnalia mkipata mnanilia sasa msaidiweje mshahara hulipwi? Uliomba ajira ya nn acha kazi
  3. Roby G

    JamiiForums Tanzania Ukweli Humuweka Mtu Huru: Nimechoka Kujiuza, Nimechoka.

    Hii biashara kuacha ni ngumu sababu kubwa wameshazoe pesa za bure kwa muda mfupi tu boya likijichanganya milioni hii hapa ndani ya nusu saa tu sasa akifanya biashara yakudunduliza apate milioni inamshinda anarudi tena kudanga hata akiolewa hawezi kuacha ushauri wangu endelea tu kifo ndio mwisho...
  4. Roby G

    JamiiForums Tanzania Ibrahimu Traore mwisho wake utakuwa kama Gaddafi asipoweza kujua majira ya kuondoka madarakani na kuruhusu demokrasia. Hakuna dikteta mzuri

    Mfano tangu alipokufa Magu kuna mradi gani wa kimkakati zaidi ya mafisadi kujichotea pesa udikteta ni mzuri sana kwa nchi za africa ona rwanda.
  5. Roby G

    JamiiForums Tanzania Mwenye dili la kuvuna mazao naomba aniunganishe

    Kama kweli mpambanaji njoo wilaya ya malinyi morogoro utavuna mpunga hadi ukimbie huku nibalaa amini utakuja kunishukuru
  6. Roby G

    JamiiForums Tanzania Fahamu machache ya kushangaza usiyoyajua kuhusu mnyama mamba

    Mkuu bila shaka wewe utakua ni wa ifakara huu mtu lumemo upo ifakara
  7. Roby G

    JamiiForums Tanzania Basi la Abood lakamatwa na kilo 101.2 za mirungi, eneo la Tegeta Kibo

    Hao wote hawana makosa dereva kazi yake nikuendesha gari anaitwa pindi gari imeshajaa kondacta hana kosa hana jukumu la kukagua mizigo ya abiria furushi limefungwa kama robota la mtumba unakaguaje zaid yakuweka kwenye buti tu
  8. Roby G

    JamiiForums Tanzania Hizi Shilingi mia mbili za sasa hivi mnazielewa wakuu?

    Mchina anaweza kutengeneza token za magorila zinafanana na mia tano atashindwaje kutengeneza mia mbili bandia
  9. Roby G

    JamiiForums Tanzania Naanza biashara ya kuku, wapi nipeleke kati ya Dar es Salaam na Dodoma?

    Mkuu kwa Dar unahofice au unapeleka kwenye masoko hao kuku kuna kitu nataka nikushauri
  10. Roby G

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga Marufuku Uhamisho wa Watumishi

    Aisee nimeshtuka ulupotaja Malinyi hivi unaijua wilaya ya malinyi vizur au unaongea tu watumishi wanatoboa huku hatari tena ukija huku kamwe hutakubali kuamishwa
  11. Roby G

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi ngazi ya chini TANAPA tuna hali ngumu; kipato hakitoshi!

    Uzeni meno ya tembo mbona yanaela sana TANAPA gani we unalialia mbona madili kibao ya kupiga pesa, mfano huku nilipo jamaa wanakamata mifugo hifazini na mambo yanaishia huko huko acha hzo jamaa wanapiga pesa sana
  12. Roby G

    JamiiForums Tanzania Ukiwa mzuri, ukisema upo single watu hawaamini kabisa

    Biashara matangazo tupia kapicha tukuone
  13. Roby G

    JamiiForums Tanzania Reli ya Kisasa Arusha-Moshi kupitia Kilimanjaro International Airport ni Turufu

    Arusha ndio dunia kama unaswali niulize mimi.
  14. Roby G

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa wavutaji wa Sigara

    Ukweli hakuna mvuta sigara anaependa kuvuta wengi tunatamani kuacha ila kuacha sigara ni kazi sana mimi hata leo kama kuna yeyote anaweza kunisaidia kuacha nipo tayari sigara ni mateso usijaribu.
  15. Roby G

    JamiiForums Tanzania Simu za mikopo usipolipa inakuwaje?

    Kuna mwamba anazifanyia mambo kwa 60k deni kwisha
Back
Top Bottom