Simu za mikopo usipolipa inakuwaje?

Simu za mikopo usipolipa inakuwaje?

1738690841773.png
 
Mikopo ni utapeli.
Mtu kakopeshwa tv ya nchi 43 ambapo anatakiwa alipe milion 1 na laki 3 kwa mwaka. Tv yenyewe ni fox😀😀😀. Siingilii maisha ya mtu ila hawa wa mikopo ni matapeli.
Kama kuna namna kopa simu ya mkopo, unlock utumie free. Hapo wizi ni wizi
Nakubali mkuu😀
 
Simu ya laki mbili na nusu unalipa mkopo 400000 ukijumlisha na simu 250000.
Tanzania ndio nchi pekee zenye riba za ajabu ambazo kila tapeli uvutiwa kuwekeza hapa kumnyonya mwananchi.
Sema wanaokopa wengi naona ni waajiriwa, wanaona hamna shida maana kila mwezi mzigo unaingia. Ukiajiriwa sometimes unajisahau sana.
 
Sawa tapeli nenda kawatapeli nakusubiria pale Ukonga Keko Segerea
We jamaa nimekushtukia😀 Ndio unayetuuzia simu za mikopo. Simu za mikopo ni utapeli mtupu, sema mna bahati wateja wenu wengi wameajiriwa. Bila hivyo mngekuwa mmefilisika.
 
Kuna mwamba anazifanyia mambo kwa 60k deni kwisha
 
Unaweza kuondoa kodi pia waliyoweka kariakoo ila usinihusishe .....
 
Back
Top Bottom