Uzi maalumu wa wavutaji wa Sigara

Uzi maalumu wa wavutaji wa Sigara

Baada ya kukosekana kwa muda mrefu uzi wa kututetea sisi wavuta sigara, sasa rasmi huu ni uzi wetu sasa, tujimwaye mwaye, tubadilishane uzoefu.
Ulianza vipi kuwa mvutaji wa sigara?
Karibuni wazee wa sigara, hata zile kubwa ni ruksa kuzijadili lakini kwa tahadhari.

NB: UVUTAJI WA SIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKO.
Bora wavita sigara kuliko wauwaji
 
Baada ya kukosekana kwa muda mrefu uzi wa kututetea sisi wavuta sigara, sasa rasmi huu ni uzi wetu sasa, tujimwaye mwaye, tubadilishane uzoefu.
Ulianza vipi kuwa mvutaji wa sigara?
Karibuni wazee wa sigara, hata zile kubwa ni ruksa kuzijadili lakini kwa tahadhari.

NB: UVUTAJI WA SIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKO.
Mimi pia navuta sigara, lakini niwe wazi tu tangu mwanzo: sihamasishi mtu aanze.

Kila mtu ana safari yake.
Nilianza kuvuta nikiwa kijana, mostly kwa ushawishi wa marafiki na ile hali ya kutaka kuonekana mtu mzima au kupunguza stress. Mwanzoni ilikuwa ni “kujaribu tu”, baadaye ikageuka kuwa mazoea. Ndiyo ukweli mchungu kwa wengi wetu.

Kwa uzoefu wangu, sigara:
Huleta utulivu wa muda mfupi,
Lakini pia huja na gharama zake kiafya na kifedha.

Ndiyo maana nashauri yeyote aliye ndani ya huu ulimwengu wa sigara awe:
Mkweli kwa nafsi yake,
Ajue mipaka,
Na kama kuna nafasi ya kupunguza au kuacha kabisa, ni jambo jema zaidi.

Uzi kama huu uwe wa kubadilishana uzoefu, sio kuhalalisha madhara.
Na ile NB mliyoweka ni muhimu sana:

UVUTAJI WA SIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKO.

Kila mtu achukue maamuzi yake akiwa na taarifa kamili.

🙏🙏🙏✌️
 
Ukweli hakuna mvuta sigara anaependa kuvuta wengi tunatamani kuacha ila kuacha sigara ni kazi sana mimi hata leo kama kuna yeyote anaweza kunisaidia kuacha nipo tayari sigara ni mateso usijaribu.
thubutu,kama ulikuwa unavuta kwa siku mara 10 basi jinyime uvute mara tano kwa muda wa miezi mitano,baada ya mwili kuzoea mara 5 kwa siku,basi anza kuvuta mara moja kwa siku kwa miezi 5 tena,baada ya hapo,anza kuvuta kwa wiki mara moja,kisha acha kabisa, mafanikio huanza kwa mchakato wa mda mrefu.
 
mimi navuta mbili tu moja asubuhi na moja usiku. ila nikinywa kidogo napata arosto sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom