Recent content by rehanishabani

  1. rehanishabani

    Utongozaji wa wanawake mjini huu hapa

    Duh utundu gani huo kwani watu wanasikiliza kwa makini na mihemko imeshapanda.
  2. rehanishabani

    North korea

    Ni upimbi kama kwetu.wasotaji ni wengi,wapigaji na wanaofaidi nchi ni wachache.na hao wasotaji wengi kazi yao kusifu na kushangilia tu hata kiongozi akitema pumba.
  3. rehanishabani

    Heshima ya CPA holder ma Masters inashuka sana.. Nini kifanyike?

    Mkuu nadhani umesikia hata kwa viongozi wetu wakubwa malalamiko ya wawekezaji waliobahatika kununua viwanda na mashamba makubwa ya umma,kuchukua mikopo na kuacha kuendeleza viwanda na mashamba hayo.ajira nyingi zimepotea kwa sababu hiyo.pia kuna wawekezaji makanjanja.badala ya kufungua viwanda...
  4. rehanishabani

    Kajiingiza kwenye mahusiano na mke wa mtu, ameshindwa kujinasua.

    Ndugu yako hajamuona mwanamke huyo hata siku moja na hamfahamu.hapo hapo unasema mwanamke ana nyumba na gari zuri na anajiweza.stori hii imekaa kama tafsiri ya ndoto.
  5. rehanishabani

    Sehemu zenye hisia zaidi kwa Mwanamke

    Kwenye g spot lazima ashki iwepo.labda kama sir god hakuiweka mahali pake.
  6. rehanishabani

    Kwa style hii dada zangu sahau kuhusu ndoa

    Mkuu una maana gani kusema mademu wanatoa kila kitu?
  7. rehanishabani

    Naweza kufa kwa hii tabia yangu ya kutozungumza, nisaidieni

    Mwambie mumeo aende wilaya ya handeni mkoa wa tanga.kuna mti unaitwa mnkambi au ufyambo.akitafuna mizizi ya miti hiyo,rungu lake litasimama masaa 24.nadhani hapo atakushughulikia mpaka kiherehere kikutoke.
  8. rehanishabani

    Kwanini wadada ambao siwataki huwa ndo wananishobokea?

    Mtembelee prof maji marefu atakuondolea hilo gundu mara moja.
  9. rehanishabani

    Hali ya Fedha mfukoni ni mbaya kwelikweli, Kwenu vipi waungwana?

    Waliofanikiwa mipigo ya aina ya eskroo nk wamefukia pesa zao kwa kumuogopa magu.na wale waliotegemea kupiga awamu ya tano wamekwama.kwahiyo mzunguuko wa fedha ni ule wa kihalali ambao hauruhusu matumizi ya kumwaga.
  10. rehanishabani

    Amini usiamini ila, hivi ndivyo ilivyo!

    Ni kweli.mwanamke anakua bwege kwa mwanamme kwa vile anahitaji rungu ambalo hawezi kua nalo mwilini mwake.na halikadhalika mwanamme anakua lofa kwa mwanamke kwa vile anahitaji papuchi ya mwanamke ambayo yeye mwanamme hana mwilini mwake.kutegemeana huku ndio kunaleta ubwege na ulofa.
  11. rehanishabani

    Niliaibika sana, sitakaa nisahau

    Mkuu kuna jambo umetuficha hapa.usingizi uliokua nao ukichanganya na yale maharage haikosi kulikua na ushuzi wa matarumbeta.
Back
Top Bottom