Kwanini wadada ambao siwataki huwa ndo wananishobokea?

Kwanini wadada ambao siwataki huwa ndo wananishobokea?

Unaowataka unawaonyesha interest.
Usiowataka huwaonyeshi interest.
Hii trick inafanya kazi vizuri sana kwenye akili za wadada.
Ukianza wapuuzia usishangae wakakujia.
 
hellow

Kuna hili tatizo wanajamvi nimeli-observe kwangu yani mara nyingi wale mademu ambao ndo napenda haswa niwe nao kwenye mahusiano ya kimapenzi wanakuwa hawana mda na mimi, lakini wale ambao aaarrgh hawanivutii ndo karibia kila cku sms wanantumia kila kukicha..plus shobo kibao..

unakuta demu sometimes ananiganda hanivutii wala nn mpaka natamani nimkate kelebu moja ya taya ila bac tu... lkn wale ninaowataka hawana mda na mm..cjui nn hiki..hili tatizo ni langu tu au wengine mnalo pia?
wanaokushobokea hao ndo chaguo lako
 
That's life, u don't always get what you want.. You get what you deserve (maybe that's what you deserve),. Sometimes inakuaga wale tunaowapenda hawatupendi na ukute pia huyo unaesema anakushobokea Kuna wanaume wenzio hawalali wanamfatilia tu
 
Mapenzi ni kama vile upo katika foleni fulani hivi wewe unaangalia wa mbele yako tu huku nyuma kuna mtu anakuangalia wewe hivyo basi naomba GEUKA CHUKUA AKUPENDAYE ACHA MBWEMBWE KIJANA
 
Mwana hiyo imekula kwako try to be too observant! then one day you gonna glance them with a very meaningful EyE !!
 
SIFA NA TOFAUTI ZA KINADADA VIMBAU MBAU (WEMBAMBA)

1. Ni wepesi kitandani sio kama gogo (viuno kama feni)

2.Hawali chakula kingi sana Hata ukitoka nae kama walivyo wanawake wanene wanavyo fukia misosi.

3. Anapendeza akivaa kila aina ya nguo tofauti na wenye vitambi( wanawake wanene)

4. Wengi wao ni wasafi vikwapa na majasho ya hovyohovyo hawana.

5.Ni rahisi Hata kumpitisha dirishani kama umefumaniwa au kumficha kwenye kabati na ukakaa vizuri au uvunguni.

6. Ni Rahisi kumu hold tight especially uko nae beach mnaogelea au Hata ameumwa usiku na huna gari na hawezi kutembea unambeba tu vizuri.

7. Ni mwepesi (ana pumzi) Hata kukimbia in case of any emergency/ danger tofaut na mnene

8. Wengi wao ni wajanja sana.

9. Wanajua kubana matumizi. wala hawana magonjwa hovyo kama presha!

10. Wanaakili za maisha, hawana aibu na hawaogopi ndio maana wengi wao wanafanikiwa.

"Hayo ni nawazo yangu tu lakini"....
Kama wewe ulichukua flat screen baki nayo ndani kwako,usiondoe stress kijanjajanja hapa.
 
Nyota ndo tatzo.kasafishe

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
hellow

Kuna hili tatizo wanajamvi nimeli-observe kwangu yani mara nyingi wale mademu ambao ndo napenda haswa niwe nao kwenye mahusiano ya kimapenzi wanakuwa hawana mda na mimi, lakini wale ambao aaarrgh hawanivutii ndo karibia kila cku sms wanantumia kila kukicha..plus shobo kibao..

unakuta demu sometimes ananiganda hanivutii wala nn mpaka natamani nimkate kelebu moja ya taya ila bac tu... lkn wale ninaowataka hawana mda na mm..cjui nn hiki..hili tatizo ni langu tu au wengine mnalo pia?
Wewe utakuwa una nyota ya msibaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitumie namba za hao ambao huwapendi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Mrs Smart911
 
Back
Top Bottom