North korea

thesym

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
3,827
4,757
hawa raia wa hii nchi wana uzalendo mpaka kupitiliza kwa nchi yao na kiongozi wao. ebu jionee documentary iliyochukuliwa na kituo cha RT kutoka urusi kwa siku kumi.

Ni upimbi kama kwetu.wasotaji ni wengi,wapigaji na wanaofaidi nchi ni wachache.na hao wasotaji wengi kazi yao kusifu na kushangilia tu hata kiongozi akitema pumba.
 
Ukiwa mtu wa fikra pevu,huwez kuishi kwe iyo nchi...thats the truth
 
Ushenzi wa Korea Kaskazini ni upi hasa ?? Naomba mnisaidie mnaosema hivyo
 
Hawana tofauti kubwa sana kimsingi ila walau Tanzania hatutawaliwi na watu wa ukoo mmoja.
Sawa sawa ila hata hao ambao sio watu wa ukoo mmoja bado wanawekwa kwa matakwa ya watu fulani tu ,hivyo ni yale yale tu mvinyo ni ule ule ila chupa ndio tofauti ,kwa hilo mimi naona bora North Korea waliokubali kuchagua moto au baridi kuliko Tanzania tulio amua kuwa vuguvugu
 
Sasa hao wanatofauti gani na Watanzania ??? Ccm inaongoza mwaka wa ngapi sasa ??
tena wao bora kuna utawala wamabavu ukiikosoa serekali unatupwa jela na hakuna uchaguzi wa raisi... huku watu tuna uhuru wa kupiga kura na bado tuna tawaliwa na ccm. tupo kama mazuzu fulani
 
tena wao bora kuna utawala wamabavu ukiikosoa serekali unatupwa jela na hakuna uchaguzi wa raisi... huku watu tuna uhuru wa kupiga kura na bado tuna tawaliwa na ccm. tupo kama mazuzu fulani
Mkuu umenifanya nitabasamu ila baada ya tabasamu ikafuata huzuni kubwa ,kweli sisi mazuzu
 
Hivi inawezekanaje watu mamilioni wanaongozwa na ukoo mmoja kama mifugo?
Ilai nashindwa kuelewa inavyoeleka hao kina kim jon's ni kama MIUNGU manake wanaabudiwa kabisa haloo!khaaa!ukizaliwa huko u are doomed from the day u are born nasikia eritrea ni hivyo hivyo except eritreans wana uwezo wa kutoroka through deadly mediterranian crossings to europe.
 
Back
Top Bottom