Amini usiamini ila, hivi ndivyo ilivyo!

Amini usiamini ila, hivi ndivyo ilivyo!

Jinsia AMBAYO INA AKILI au IQ Kubwa Ni Ya KIKE ( Mwanamke ) Isipokuwa Tu Ni MABWEGE Na Ya KIUME ( Mwanaume ) Ni WAJANJA Lakini Wana ULOFA.
  • UBWEGE Wa Wanawake Unatokana Na Kwamba Huwa Anajua Kabisa Kuwa ANADANGANYWA Wakati ANATONGOZWA Na Mwanaume Lakini ANAKUBALI Kiurahisi Sana Na Hadi Kuliwa URODA.
  • ULOFA Wa Wanaume Unatokana Na Kwamba Anajua Kabisa Kuwa ANATAFUTA PESA KWA SHIDA Na TAABU ZOTE Lakini Anakuja KUZITOA Kwa Mwanamke ( KUHONGA ) Kirahisi / Kiulaini Sana.
Je WAJUVI Wa Mambo Hapa Kuna UKWELI Wowote Juu Ya UBWEGE Na ULOFA Baina Ya Hizi JINSIA KUU MBILI ZINAZOTEGEMEANA?

Karibuni TULIJADILI.
Nilidhani unafahamu, kumbe na wewe bado una-hypothesize tu?
 
na wewe Barbarosa bana kwani nani hajui humu Id yako nyingine Ni barbarosa yenye avatar ya German Shepherd

Endelea Tu KUOTA Ila Nakuhakikishia Kuwa Tangia NIJIUNGE Humu JF Sijawahi Na Sitawahi Kuja Kuwa Na ID Nyingine Kwani Hii Hii IMESHANITAMBULISHA DUNIANI KOTE Hadi Sasa Kuna Watu Huko MITAANI Wanajiita GENTAMYCINE Na Kuna Wazazi Wengi Wa KIHAYA, KIHA, KINYIRAMBA, KINYATURU Na KIRANGI Wanawapa Watoto Wao Majina Ya GENTAMYCINE Isipokuwa Ni Nifah Tu Pekee Ndiyo Kaamua Kumuita Mwanae Jina La POPOMA ALIYETUKUKA. Mkuu Lakini Si Hata Wewe Mwenyewe Unaitamani Hii ID ILIYOTUKUKA? Nikupe au Tubadilishane?
 
Halafu Nakuomba Acha Kunitajia Majina Ya MIZIMU Sijui Sweya Mara Nyamalango Ambapo Hata SIPAJUI. Mimi Nitajie PARIS, WASHINGTON, TEL AVIV, LONDON, BRUSSELS Na Labda Kidogo CAPE TOWN Ambako Ndiko Nacheza Nako Sasa Mwaka Wa 23 Huu. Aliyekuambia Kuwa Mimi Nimekaa au Nimeishi Huko Tanzania Kwenu Ni Nani? Watutsi TUNAISHI SANA NCHI ZA ULAYA Huku Na WAZUNGU Kwakuwa WANASEMA TUNA AKILI KAMA ZAO Hivyo Tukikaa AFRIKA Kwenu HukoTUTAKUWA TUNAPOTEZA Tu Muda. Karibu Sana Huku Majuu Mkuu. Sasa Najiandaa Kupanda Treni Ya Umeme Kutoka Hapa Kazini Kwangu Mji Wa Marseille Na Narudi Zangu Kulala Mji Wa Lyon.
🙂 😀😀 Haya mkuu.. Nimekusoma..
 
Nilidhani unafahamu, kumbe na wewe bado una-hypothesize tu?

Ni Bora Tu Ungeanza Na Ama Kiswahili Moja Kwa Moja au Ungejibu Tu Kwa Kiingereza Moja Kwa Moja Kwani Huwa SIPENDI Mtu Anayechanganya Kiswahili Na Kiingereza Anapoandika. Kwahiyo Neno Lako La KIINGEREZA Ulilolikalili Ni Hilo Tu Pekee? Kuna Watu Hapo Sasa Umeshawapoteza Na Pengine Hata Kuwatisha au Kuwakatisha Tamaa Wasichangie Kwani KIINGEREZA Kwa Tanzania Ni Sawa Sawa Na Nigeria Na BOKO HARAM!
 
Ni kweli.mwanamke anakua bwege kwa mwanamme kwa vile anahitaji rungu ambalo hawezi kua nalo mwilini mwake.na halikadhalika mwanamme anakua lofa kwa mwanamke kwa vile anahitaji papuchi ya mwanamke ambayo yeye mwanamme hana mwilini mwake.kutegemeana huku ndio kunaleta ubwege na ulofa.
 
Endelea Tu KUOTA Ila Nakuhakikishia Kuwa Tangia NIJIUNGE Humu JF Sijawahi Na Sitawahi Kuja Kuwa Na ID Nyingine Kwani Hii Hii IMESHANITAMBULISHA DUNIANI KOTE Hadi Sasa Kuna Watu Huko MITAANI Wanajiita GENTAMYCINE Na Kuna Wazazi Wengi Wa KIHAYA, KIHA, KINYIRAMBA, KINYATURU Na KIRANGI Wanawapa Watoto Wao Majina Ya GENTAMYCINE Isipokuwa Ni Nifah Tu Pekee Ndiyo Kaamua Kumuita Mwanae Jina La POPOMA ALIYETUKUKA. Mkuu Lakini Si Hata Wewe Mwenyewe Unaitamani Hii ID ILIYOTUKUKA? Nikupe au Tubadilishane?
@Mathematican
 
@Mathematican

mathematican ni kiingereza cha wapi? kwani ungeandika tu kwa kiswahili mwanamahesabu usingeeleweka mkuu? watu wengine mnatafuta kudharaulika au kuchoreka humu wenyewe! haya badalisha upesi hilo neno tafadhali kwani nimekaa hapa jirani na mkenya na mganda na wameliona na wananicheka sasa kwakuwa wanajua kuwa wewe ni lazima tu utakuwa ni mtanzania mwenzangu ambao kiingereza kwetu ni kama jehanam.
 
Mkuu wazee wa Bandari walikuwa wanahonga mpaka magari chezea Derila kwenye ubora wake Samsoni alinyolewa nywele.
 
Back
Top Bottom