Diesel generator
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 706
- 663
Ni kuakikishie tu ndugu wote hawaludi mjini, wengi tu wanatimiza ahadi ya mwezi wa Saba. Wamehamia vijijini.
una uhakika aliyeleta hoja ni mpwani pwani?hawezu kuwa mchattle chattle au mdodomiya?Waswahili wa pwani ni watu wa ajabu sana.
Wao ni singeli,fitina, vigodoro na vijembe tu...sio Baba, sio mama sio watoto.
Waarabu waliowaachia minazi waswahili waliwaharibu sana.
Ni bora kupatner na mhadzabe kuliko na waswahili.
Kwani ni wapi nimemuongelea au kumtaja aliyeleta hoja?una uhakika aliyeleta hoja ni mpwani pwani?hawezu kuwa mchattle chattle au mdodomiya?
Shemeji zangu acheni hizo bwana nitampa kibuti dada yenu!
Mwaka imeshuhudiwa idadi kubwa ya wachaga wamerudisha mpira kwa kipa yaani wamerudi kwao
Inadaiwa kuwa zile zama zao za kuishi kama wafalme kutikiswa hivyo kuamua kurudi kwao kujipanga upya kwa namna mbali wenye kutambika ,wenye kushtaki kwa vibibi wenye kupanga mikakati kabambe juu ya 2020 woote wamerundikana
Yesuu na maria huyu bwana atatuo vibyongo (madili tupa kule)
Epuka kuongozwa kwa hisia au ushabiki.Kwani ni mara ya kwanza mwaka huu wachaga kurudi makwao kula sikukuu?Magufuli amehusika nini au kuchangia nini wachaga kwenda kwao tena kwa hiyari yao?Unajivua udadisi,umakini,werevu,hekima na kijishushia heshima kulazimisha vitu viwe vile unavyoongozwa na hisia hasi.Mwaka imeshuhudiwa idadi kubwa ya wachaga wamerudisha mpira kwa kipa yaani wamerudi kwao
Inadaiwa kuwa zile zama zao za kuishi kama wafalme kutikiswa hivyo kuamua kurudi kwao kujipanga upya kwa namna mbali wenye kutambika ,wenye kushtaki kwa vibibi wenye kupanga mikakati kabambe juu ya 2020 woote wamerundikana
Yesuu na maria huyu bwana atatuo vibyongo (madili tupa kule)
Kwani Wachaga si ni kila mwaka? Wewe na baba jesca ndo mnaoumia. Vyuma vingekuwa vimekaza ungeuona huo msururu wa magari? Wanawaonesha kuwa vyuma hajikaza kwao. Mtaumia sana na wivu wenu wa kipumbavu.Mwaka imeshuhudiwa idadi kubwa ya wachaga wamerudisha mpira kwa kipa yaani wamerudi kwao
Inadaiwa kuwa zile zama zao za kuishi kama wafalme kutikiswa hivyo kuamua kurudi kwao kujipanga upya kwa namna mbali wenye kutambika ,wenye kushtaki kwa vibibi wenye kupanga mikakati kabambe juu ya 2020 woote wamerundikana
Yesuu na maria huyu bwana atatuo vibyongo (madili tupa kule)
ndio pale maskin anapo taman kila MTU awe maskin kama yeyeMwaka imeshuhudiwa idadi kubwa ya wachaga wamerudisha mpira kwa kipa yaani wamerudi kwao
Inadaiwa kuwa zile zama zao za kuishi kama wafalme kutikiswa hivyo kuamua kurudi kwao kujipanga upya kwa namna mbali wenye kutambika ,wenye kushtaki kwa vibibi wenye kupanga mikakati kabambe juu ya 2020 woote wamerundikana
Yesuu na maria huyu bwana atatuo vibyongo (madili tupa kule)
Naaaam yaakheeNdio nini?
Wewe ni mswahili wa pwani?
Wachaga tumeweweza sio kwa mapovu hayaEpuka kuongozwa kwa hisia au ushabiki.Kwani ni mara ya kwanza mwaka huu wachaga kurudi makwao kula sikukuu?Magufuli amehusika nini au kuchangia nini wachaga kwenda kwao tena kwa hiyari yao?Unajivua udadisi,umakini,werevu,hekima na kijishushia heshima kulazimisha vitu viwe vile unavyoongozwa na hisia hasi.
Chuma una kitafsiri kwa starehe ya siku 1 hahahaaa ,chuma unakitafsiri kwa kwenda club ya sh elf 15![]()
Hamna chuma kilichokaza Moshi, club hizo saa 5 kuko full
Ww ndo mobeto eeeehndio pale maskin anapo taman kila MTU awe maskin kama yeye
Ni kweli sema madem zenu wengi matairi vipara hamna safariyaan vyuma haviwez kukaz moshi
wachaga akili mingi ka waisrael
Ww ndo mobeto eeeeh