Ha ha ha haaa.. Ni wa kiume... Sio mwanaume. Mwanaume anaesimamisha hawezi kujiita lile jina.Kumbe ni mwanaume!!
Makubwaaaah!
Mie napenda magari ila sio awe nalo mwanaume ili nimpende au aninunulie au anipe la hasha. Napenda magari niwe nalo na niwe naliendesha. Rejea uzi wangu wa catch me if you can....
I bet you Kasie hata ujue weakness yake kumpata kila unapotaka ni yeye a take na si maujanja yako.... wallah tena nakuapia. Labda nikikuona tuu nikuzimie mimi hapo utanipata kiulaini sasa sijui utajibadilisha muonekano......
vip kuna aliefanikiwa kuona plate number ya gari yako?, mbona hukuleta mrejesho ajuza kasieAaah wapi labda uniwekee ndumba hivihivi utashika mkongojo na Kasie utasikia tuu alinipa hapa hehehehee
Inategemea na huyo mwananke anataka aingiliwe na gear gani...Fanya kweli basi... maana naona mademu wako style ya kuwapata ni kwa magari tu huna kingine?
Jipe moyo na wewe... utakuja hadithia mwenye kama utapata huo ujasiri...Endelea kujipa matumaini heheheee Kasie sio tuu maneno mingi... akili mingi pia hehe
Hahahahaaaa unafikiri hao ni Kasie....... umenoa ni bora ukauliza wazoefu walau uje na njia mpya ulizozipanga hadi saa hii ninazo na najua jinsi ya kuzitatua. .... achimpati mtu hapana
Kuficha aibu kuwa umetoka KO namezea tuu au ndo ile unakufa kiume heheheh wenyewe mnaita kishujaa kumbee kufa kihoro hehehehee
Duh utundu gani huo kwani watu wanasikiliza kwa makini na mihemko imeshapanda.Jamani not fair.....
Hiyo ni tabia mbaya.....
Mie niko hivi.... napenda raha ila sikwambii kama hunisomi basi utabaki kusema ninamambo ya kitoto au ya kizamani.
Kuna utundu flani hivi ndo ulevi wangu vingine material tuu
Hebu malizia, alipogundua murano uliiazima na ushamkula ilikuwaje?
Hahahaa namashaka na ww, yawezekana ukawa mpenda murano, mbona maelezo mengi???
vip kuna aliefanikiwa kuona plate number ya gari yako?, mbona hukuleta mrejesho ajuza kasie
Jipe moyo na wewe... utakuja hadithia mwenye kama utapata huo ujasiri...
Acha kuongea sana... subiri vitendo...