Kwa style hii dada zangu sahau kuhusu ndoa

Kwa style hii dada zangu sahau kuhusu ndoa

Ekyoma

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
2,177
Reaction score
2,805
Habari za mda huu wana jamvi

Dada zangu kwa style hii dada zangu sahau kuhusu ndoa. Siku izi ni jambo la kawaida kua na demu unaishi naye kama mke yani kila kitu kinachopatikana ktk ndoa unapewa yan cku izi madem sio wachoyo unatafuna adi unachoka mwenyewe. Tena inawezekana tunapewa zaid ya wale walioko kwenye ndoa kwa sababu ya kuofia kuachwa kwa hawa wadada.

Mwanzoni nilidhan labda nna bahati ya kupendwa kumbe kila njemba inayopata bahati ya kua dem inapewa kila kitu sasa kwa style iyo naoa ili iweje wakati kila kitu napata dada zangu tengenezen mazingira ya kutubania kidogo ili tutaman kuwao la sivyo tutaendelea kuwatufuna na ndoa hakuna.
 
Wengi huona wamepatia life kwa kujimegea mabinti na service zote za ndoa bila ndoa yenyewe ila wanasahau maneno ya wahenga.. 'Mtafuna...Hutafunwa'.Endelea kutafuna siku yako yaja
 
Sasa wewe mtoa mada unataka hao wadada labda wafanyeje, mkibaniwa mnasema ooh,hanipendi, anachepuka,kabadilika etc mkipewa sana mara oooh..maharage ya mbeya,ananichosha,etc aisee mtoa mada kwa iyo mada yako ulioleta mm nawatetea wadada kila cku iwe wao tu, kwani mara nyingi wanaoanza kuomba gemu ni akina nani c ndo sisi wanaume au.. Ekyoma
 
Not necessarily. If I go to the dealership for a test drive, and I feel how it drives, then it's cuming home with me. Mind the art.
 
na wewe kwa style hii sahau kuoa
 
Yuko kwenye barehe sio yeye mm same he akikua atajua tofauti ya ndoa na michepuko.
 
Sio lazima iwe hivyo unavyodhani, wanaume wengi sana sasahv wasipopewa kabisa na mtu aliye na malengo naye ndio anamwacha ila akipewa na kuishi naye kidogo Anamuoa. Upo dunia ipi wewe eroo.
 
Nia ya kuoa si papuchi tu bali kutengeneza familia. Kama ingekuwa ni papuchi kwa maana yako basi watu wasingeoana maana unaweza kupata binti kuda unaotaka.
 
Nia ya kuoa si papuchi tu bali kutengeneza familia. Kama ingekuwa ni papuchi kwa maana yako basi watu wasingeoana maana unaweza kupata binti kuda unaotaka.
Mkuu nimemanisha haki zote unapewa sio kikojoleo tu
 
kwel ww ni kilaza unakula na unashauri akukazie ili urud hapa kulalamika?
 
Mpaka akupe mtoto ndo unakuwa umepata haki zote za mke.
Mbona kuna watu wapo kwenye ndoa mika zaidi ya 5 na mtoto hawana mtoto sio kigezo cha ndoa bana
 
Habari za mda huu wana jamvi

Dada zangu kwa style hii dada zangu sahau kuhusu ndoa. Siku izi ni jambo la kawaida kua na demu unaishi naye kama mke yani kila kitu kinachopatikana ktk ndoa unapewa yan cku izi madem sio wachoyo unatafuna adi unachoka mwenyewe. Tena inawezekana tunapewa zaid ya wale walioko kwenye ndoa kwa sababu ya kuofia kuachwa kwa hawa wadada.

Mwanzoni nilidhan labda nna bahati ya kupendwa kumbe kila njemba inayopata bahati ya kua dem inapewa kila kitu sasa kwa style iyo naoa ili iweje wakati kila kitu napata dada zangu tengenezen mazingira ya kutubania kidogo ili tutaman kuwao la sivyo tutaendelea kuwatufuna na ndoa hakuna.
Mkuu una maana gani kusema mademu wanatoa kila kitu?
 
Back
Top Bottom