shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,329
Habari ya weekend wadau..
Mi mdau wa elimu ninafanya kazi kampuni moja kubwa tu jina kapuni na kwa nature ya kazi yangu imenikutanisha na watu wengi sana wa kampuni na mashirika tofauti walio kwenye department za finance.. as tunategemeana sana kwenye kazi as kufatilia malipo etc etc...
Kwa kuangalia kwa mwajiri wangu.. accounts dept ina staffs zaidi ya 50 na karibu kila mtu amejiendeleza as kwa kujua umuhim wa elimu..
CPA holders 17 na masters holder kibao as kila mtu anakopa hela au anasave anaenda shule hata za jioni..
Cha kushangaza kazi ni zile zile za kikarani tu as ass accountant
Post kubwa ni chache as finance manager hawawezi kuwa 10 hata wawe na elimu vipi lazima awe mmoja tu.
Chief accountant nae ni mmoja tu..
Hata team leaders may be accounts payable au receivable lazima awe mmoja tu..
So hii inawapa manunguniko wengi as wamesoma wana CPA na masters lakini ajira hakuna za maana.
Kila sehem utakapoenda CPA holders wamejaa but kazi za kikarani tu mshahara hata milion moja net ishu.
Zamani CPA kuipata ilikuwa wateule wachache na hata kazini walikuwa majembe but now days mtu ana CPA but makosa kibao.
Je, ni mitihani ya CPA imekuwa myepesi sana au nini shida?
Au syllabus ya NBAA ina mapungufu.
Je, nini kifanyike value ya CPA iongezeke?
Na hata mitaani nina watu wana CPA lakini zaidi ya miaka mitatu wanaganga njaa tu na bahasha na hata vikazi ni vya ajabu ajabu wanavyofanya as hawana furaha kabisa.
Je, ni sahihi kukopa hela zako kuwekeza kwenye elimu zaidi kama masters au CPA kwa dunia ya sasa inavyoenda?
Maana waajiri hasa wageni nafasi nyeti wanajipa wao tu as huwezi kuta finance manager au chief accountant mswahili kwenye multinational companies so na ma CPA yetu bado wanatudharau tu.. nba wachukue hatua gani?