"Uongo katika mapenzi"

"Uongo katika mapenzi"

Mabibi na mabwana! Sina shaka mko vema mida hii.... Tunakutana tena katika pillow talk

Kama kichwa cha habari hapo juu kinavosomeka najua sio geni yumkini ulishasikia tena na tena ila sio mbaya tukakumbushana kwa namna yoyote ikiwa lengo ni kuboresha mambo katika sayari hii ya mapendo/mahaba

He hee unaweza ruka sarakasi zote lakini hapa ndio mwisho wa ujanja bana,mapenzi yana run na kudrive pipoz

Ntuzu mambo niaje mzeiya!
Kweli unausingizi
 
Mwanamke unapo mtongoza ukimuambia ukweli hasa kama hauna hela nafasi ya kumpata ni ndogo mno!

Hauna kitu ww mwambie Rais Magufuli kakuteau juzi kuongoza TRA,hapo unamuachia vihela fulani usiku huo huo unapiga
 
Kwanza kabisa, asante sana mpendwa 'Valentina' kwa kuleta mada nzuri. Natambua ya kuwa kuna watu wanaoamini kuwa kuna uongo mzuri na uongo mbaya na wakati mwingine uongo unaweza kusaidia kuboresha mahusiano jambo ambalo si la kweli.

Naomba muelewe, hakuna uongo ambao ni mzuri. Na kama ikatokea uongo ukakusaidia basi utakusaidia kwa muda tu, lakini ipo siku ukweli utakuja kujulikana na itasababisha mambo yawe mabaya zaidi kuliko ambavyo ungesema ukweli.

Hakuna kitu kibaya kama uongo kwenye maisha na hasa katika mahusiano ya kimapenzi. Uongo wa aina yoyote ile si mzuri katika mahusiano kwa sababu huweza kusababisha kupungua kwa mapenzi na uaminifu baina ya watu wanaopendana hasa kama mmojawapo akigundua kuwa mwenzi wake ni anamdanganya.

Kuwa mkweli katika maisha hasa katika mahusiano ya mapenzi ni jambo jema sana kuliko kuwa muongo.
 
Kwanza kabisa, asante sana mpendwa 'Valentina' kwa kuleta mada nzuri. Natambua ya kuwa kuna watu wanaoamini kuwa kuna uongo mzuri na uongo mbaya na wakati mwingine uongo unaweza kusaidia kuboresha mahusiano jambo ambalo si la kweli.

Naomba muelewe, hakuna uongo ambao ni mzuri. Na kama ikatokea uongo ukakusaidia basi utakusaidia kwa muda tu, lakini ipo ukweli utakuja kujulikana na itasababisha mambo yawe mabaya zaidi kuliko ambavyo ungesema ukweli.

Hakuna kitu kibaya kama uongo kwenye maisha na hasa katika mahusiano ya kimapenzi. Uongo wa aina yoyote ile si mzuri katika mahusiano kwa sababu huweza kusababisha kupungua kwa mapenzi na uaminifu baina ya watu wanaopendana hasa kama mmojawapo akigundua kuwa mwenzi wake ni anamdanganya.

Kuwa mkweli katika maisha hasa katika mahusiano ya mapenzi ni jambo jema sana kuliko kuwa muongo.
Ni kweli,uongo una gharimu ila ukweli siku zote hutuweka huru na kujiamani zaidi.
 
Siku zote ili uweze kuimarisha mapenzi au uweze kumpata mwanamke kiurahisi lazma uongo utumike kwan mwanamke bila kudanganywa hamtafika mbali au hutampata.

Kwahyo uongo hautakoma kamwe kwenye mahusiano.

Sasa ww jifanye kondoo uone utakavyoambulia vibuti
 
Mabibi na mabwana! Sina shaka mko vema mida hii.... Tunakutana tena katika pillow talk

Kama kichwa cha habari hapo juu kinavosomeka najua sio geni yumkini ulishasikia tena na tena ila sio mbaya tukakumbushana kwa namna yoyote ikiwa lengo ni kuboresha mambo katika sayari hii ya mapendo/mahaba

He hee unaweza ruka sarakasi zote lakini hapa ndio mwisho wa ujanja bana,mapenzi yana run na kudrive pipoz

Ntuzu mambo niaje mzeiya!
pipoz

pawa.
 
Kusema uongo sio vizuri ila ukweli siku hizi ni bidhaa mbovu kabisa. Hakuna hata mtu mmoja anaeutaka ukweli mtaani ukisema ukweli wanakuita bwege au kilaza. Nakumbuka nilipokuwa nina miaka 17 nilimpata demu akiwa na miaka 24. Akiwa mchumba wa mtu lakini akimwambia mchumba wake kuwa yupo virgin wakati mimi nishakula tunda mara 3. Pia nilipokuwa na demu wangu shule alikuwa anachukuliwa na mwalimu wa shule nilikuwa sijui mpaka rafiki yangu alikuja niambia nini kinaendelea. Nilipomwabia demu wangu alikana kila kitu. Tokea siku hio sina ukweli kwenye maisha yangu ya mapenzi. Mapenzi ni kama karata ukiona unapenda basi mwezio hana mapenzi kama yako. Na ukiona unapendwa basi hutokuwa na upendo kwa mweziwako kama anavyokupenda yeye. Uwongo ni mzunguko wa maisha yetu. Asilimia kubwa za stori hapa jamii forum utaona wanadoa ndio wanaosalitiana kila siku. Na mtu huja na mrejesho jinsi alivyomdanganya mweziwe.
 
Kusema ule ukweli uongo ktk mahusiano sio mzuri kabisa Ila kuna vile viuongo vinavyoelekea kua kweli vile vingi tu. Lkn ilikua nyakati zile hasa kwa mtu ambaye hufikirii kua na future naye
Kumbe....
 
We wako unamdanganyaga nini?

Hivi kwa nini unapenda hayo ma 'tra' 'tra'.....mara sijui kwendraaa.....mara matatraaa......

Sauti za kujamba jamba hizo wewe. Au unajambraa sana?😀
Ha ha... Afu we ni mshenzy sana ujue
 
Siku zote ili uweze kuimarisha mapenzi au uweze kumpata mwanamke kiurahisi lazma uongo utumike kwan mwanamke bila kudanganywa hamtafika mbali au hutampata.

Kwahyo uongo hautakoma kamwe kwenye mahusiano.

Sasa ww jifanye kondoo uone utakavyoambulia vibuti
Wewe inaelekea una experience ya kutosha kwenye uongo
 
Kusema uongo sio vizuri ila ukweli siku hizi ni bidhaa mbovu kabisa. Hakuna hata mtu mmoja anaeutaka ukweli mtaani ukisema ukweli wanakuita bwege au kilaza. Nakumbuka nilipokuwa nina miaka 17 nilimpata demu akiwa na miaka 24. Akiwa mchumba wa mtu lakini akimwambia mchumba wake kuwa yupo virgin wakati mimi nishakula tunda mara 3. Pia nilipokuwa na demu wangu shule alikuwa anachukuliwa na mwalimu wa shule nilikuwa sijui mpaka rafiki yangu alikuja niambia nini kinaendelea. Nilipomwabia demu wangu alikana kila kitu. Tokea siku hio sina ukweli kwenye maisha yangu ya mapenzi. Mapenzi ni kama karata ukiona unapenda basi mwezio hana mapenzi kama yako. Na ukiona unapendwa basi hutokuwa na upendo kwa mweziwako kama anavyokupenda yeye. Uwongo ni mzunguko wa maisha yetu. Asilimia kubwa za stori hapa jamii forum utaona wanadoa ndio wanaosalitiana kila siku. Na mtu huja na mrejesho jinsi alivyomdanganya mweziwe.
Kawaida tu kumdanganya kama unae lakin mi hawa wadudu wanaitwa mpenzi sina kbs sitak matatizo na wanawake kitu kama hukipendi ni kukaa nacho mbali siwapendi ndo maana siwez kuongelea hili
 
Back
Top Bottom