Recent content by Promenthous

  1. P

    JamiiForums Tanzania Biashara ndogo ndogo ukizifanya kwa ukubwa na uweledi, zinaweza kukulipa mshahara ata zaidi ya milioni 50 kwa mwezi

    Usitegemee nguvu ya mtu mwingine ikutoe, huyo mtu akizinduka lazima akukimbie.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Aende degree ipi kati ya hizi: Civil, Mechanical, Electrical, Mineral au Data Science? Matokeo yake ni GPA 1.6 (PCM)

    Data Science, Statistics, Actuarial science zitamfaa, siku hizi kuajiliwa ni bahati, connection na skills & experience tu, asome kitu anachokipenda atafaulu vizuri.
  3. P

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    😁😂
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Spain Mabingwa wa World Cup 2026 tukutane hapa

    Spain France England
  5. P

    JamiiForums Tanzania Pitching ya uwekezaji

    Idea ni nzuri sana lakini watu wamepigwa sana kwenye issue hizo, only risk takers can take it, kila la kheri.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Stend ya Mbezi kwa Magufuli kosa kubwa ni hili

    Tatizo stand haiko connected, ukitaka kifika stand kama hauna usafiri binafsi lazima utaabike, sawa na ukishukia hapo, zamani ubungo ilikiwa rahisi kupata usafiri wa kwenda pande zote, kama ilivyo kwa stand za urafiki sasahivi.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Biashara ina uhuru na inatajirisha lakini watoto wetu tunawaombea waje kuajiriwa wavae na tai, stress za biashara si mchezo

    Hela ni ile ile tu, whether unaipata kwa ajira au biashara, kila njia inaugumu wake.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mungu, ila kuna nguvu ya asili ambayo haina ukomo wala mwanzo

    Sasa huyo ndio mungu mwenyewe😊
  9. P

    JamiiForums Tanzania My thoughts on the next great app idea in tanzania

    Google map inaoneasha
  10. P

    JamiiForums Tanzania Aina gani ya gari inafaa kuanzia maisha?

    Toyota Aqua
  11. P

    JamiiForums Tanzania Mama ana changamoto ya kiafya, anahitaji mkopo wa fedha kwa dhamana ya nyumba

    + 1 kwenye hili, kiukweli sioni namna mtakavyoweza kulipa hilo deni kama hakuna vitega uchumi vingine, mnaweza kupata hasara nyumba ikachukuliwa na wajanja kwa bei rahisi, kufa kufaana. Nivyema kama hakuna kabisa option ya kupata hela ya matibabu basi muuze tu hiyo nyumba kwa bei ambayo ni nzuri...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, njaa itaniua

    DM au hiyo namba yako unatumia whatsapp?
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kujenga Apartments

    Ushauri, kwanza tafuta kiwanja sehemu ambayo ni potential, watu wengi wanapenda kupanga sehemu ambazo zinafikika na ambazo zimeshaendelea
  14. P

    JamiiForums Tanzania Jitengenezee Streaming Server (Kama Netflix) Local (ya Nyumbani Kwako) [Tutorial]

    Jellyfin iko poa, haina mambo mengi, nimeitumia muda mrefu, unaweza kutumia kwenye pc, SmartTv na smartphone
  15. P

    JamiiForums Tanzania Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

    Ndio tatizo lake kumbe, nilidhani kwangu tu
Back
Top Bottom