Aina gani ya gari inafaa kuanzia maisha?

Aina gani ya gari inafaa kuanzia maisha?

Enheeeh wajomba naombeni msaada ni aina gani ya gari nafaa kuanzia maisha kama kijana mwenye mshahara wa 2M? Nilijichanga nikafikisha kiasi fulani nataman kupata gari ila nawaza aina ipi ya gari itafaa na yenye less service n maintenance.

Kuna fundi aliniambia Nissan Dualis nilipozifuatilia kidogo nizimie.

MSAADA
Toyota Aqua
 
TOYOTA inayoendana na kibunda chake.

Hivyo vyuma usitegemee kumiliki kwa kutegemea TGTS eti PCM au HGE ikufanye umiliki LC 300

Njia short cut ya kusukuma hivyo vyuma ni mbili ama ukosane na Mungu au serikali
​
😅😅😅Umemaliza kila kitu
 
Gari yoyote ya Toyota inayotumia Engine 5A FE.
Sifa za gari la engine hiyo kwanza inadumu pili inafatumia mafuta vizuri tatu ukiwa jirani na mafundi wakati wanatengeneza mara kwa mara mwisho wa siku utaweza ata wewe mwenyewe kushusha injini na kuoverhaul yaani ni injini ambayo hautachukia kumiliki gari yaani utafurahi kumiliki gari maana kuanzia matumizi ya mafuta na kudumu utafurahi wastani wa matumizi ni 16km kwa lita na engine kama unazingatia service ni kilometres 500,000+ itadumu
We jamaa😀😀😀
 
Back
Top Bottom