Kombe linakwenda kwa Brazil mpira ulikozaliwa. 😊
Spain itatoka mapema sana, Portugal na France zitafika mbaliNi miaka 16 toka tumebeba taji letu la kwanza na sasa ni wakati wetu kunyanyua makwapa Kwa mara ya pili
Njoo apa tukutane tushauriane kuhusu team yetu na tupeane updates mbali mbali
Eti ulikozaliwa, ulikuwepo?
Argentina 💪🏽
Morocco 💪🏽
Spain💪🏽
Simuoni German akinusa hata nusu.Bingwa ni German