Hii nitaangalia haitanikosa.Ya Saa nne tena hiyo
Kabisa mtani...Kushikilia bomba dkk 90 sio mchezo Mtani.
Yah! Ila hawa ndugu zetu wakaze kaze kidogo Afrika hatutaki aibu kama aliyokutana nayo yule jamaa aliyepigwa 7 na Germany.Kabisa mtani...
Halafu tokea haya mashindano yaanze.
Sub zinazoingia huwa zinaleta impact sana...
So Spain wakifanya mabadiliko ya Yamin atabadilisha mchezo.
Japo na yeye anakabika tu.
Na Wakiruhusu goli, wanapigwa 3
Kabisa Shem.
Ngoja nifuatilieLink nimetembeza sana huko juu
Hii sio App ni web
Hakuna kuachiaaaa..
Second half sijaona kocha wa Spain kabadili nini. Naona hata South Korea anawatandika hawa hata robo hawaendi kwa mpira nyanya huu wanaocheza hapa.Hata bila kuumia sioni Spain kama threat kabisa kwenye hii tournament
Acha kabisa kuwataja hao big fishes. Hawa hawa kina Cape Verde wanaweza kufanya Spain asitoke na point 3
Na hili kosa lilifanyika kwa watu waliokuwa wakii hype Spain na kufanya wapinzani wajipange haswa na kucheza kwa intensity ya juu.
Rafiki mbona kama pumzzzzi zinatukata. 😀Hakuna kuachiaaaa..
😁😂Cape Verde fungweni basi hata moja tumebet
Hizi sifa zinawatosha 🙌🏾
Tunabana hivohivooo rafiki hapenyi mtuuu !😊😄😄Rafiki mbona kama pumzzzzi zinatukata. 😀
Hao vijana wawili hawawezi kutuacha salamaKijana wenu anafanya kazi ya kuzunguka uwanja kama ball boy
View attachment 3608581