Stend ya Mbezi kwa Magufuli kosa kubwa ni hili

Stend ya Mbezi kwa Magufuli kosa kubwa ni hili

Serikali ichukue hatua, hata stand ilipohamishwa kutoka Kisutu kwenda Ubungo raia wa katikati ya mji waliiaminisha serikali hilo haiwezekani.

Kwa hiyo, LATRA isimamie na kushurutisha Mabasi yote yaende Mbezi.

Piga marufuku Shekilango, riverside au sehemu yeyote ile bus la mkoani kupakia abiria.

Mzaha Mzaha, ile stand itakua gofu kama maamuzi magumu hayatachukuliwa.
Tatizo stand haiko connected, ukitaka kifika stand kama hauna usafiri binafsi lazima utaabike, sawa na ukishukia hapo, zamani ubungo ilikiwa rahisi kupata usafiri wa kwenda pande zote, kama ilivyo kwa stand za urafiki sasahivi.
 
Kusolve ile stend ilitakiwa kuwa na mifano ambayo airport za wenzetu na maeneo yao wanavyotumia.

Nitatolea mfano wa airport ili muelewe.

Airport za wenzetu ukifika hapo utapata huduma zote kama tren ya kukufisha sehemu,barabara maalumu za juu ambazo zitakufikisha eneo ambalo gumu kufikika.

Kwa stendi ya magufuli mabasi mengi kutofika hapo ni kwa sababu ya miundo mbinu ya wafikiaji abiria wanaosafiri.

Kunge kuwa na treni inayoweza kumtoa mtu mfano mbagara mpaka stend ya magufuri sizani kama mabasi yangefika huko.

Miundo mbinu ya ufikiaji hiyo stend inachosha yani una mizigo na unapoelekea mwendokasi hawa ruhusu mizigo,uchache wa mabasi mwendo kasi.

Kwa mtindo huu basi nyingi zita tafuta sehemu ya urahisi wateja wao wazidi kufika kwa urahisi.View attachment 3521674
Stend mvua zkinyesha maji mengi yanatwama kama ziwa
 
Abiria apandie kituo chochote atakacho ila gari ipitie stand mda wa kuondoka hiyo iwe amri, gari youote ya abiria ipite stand kisha ndo iage jiji na si vinginevyo
Upumbavu wa kupotezeana muda na kuongeza foleni tu, kila gari iwe na stendi yake kadri ya mahitaji ya wateja wake na ziagie jiji huko kama shida ni mapato na hamuwezi kukusanya kwa njia nyingine atatumwa boda kuwaletea huko ofisini kwenu.
 
Upo sahihi. Huwezi kuwekeza kiasi kile kujenga stand halafu watu wanaikacha kwa ridhaa zao tu. Serikali lazima iwe na msimamo ili ikusanye mapato kupitia hii stand.
Kama hamuwezi kukusanya mapato kwenye ofisi za bus au barabarani wekeni namba za simu muwe mnatumiwa mapato au hata boda atapewa awe anawaletea.
 
Kusolve ile stend ilitakiwa kuwa na mifano ambayo airport za wenzetu na maeneo yao wanavyotumia.

Nitatolea mfano wa airport ili muelewe.

Airport za wenzetu ukifika hapo utapata huduma zote kama tren ya kukufisha sehemu,barabara maalumu za juu ambazo zitakufikisha eneo ambalo gumu kufikika.

Kwa stendi ya magufuli mabasi mengi kutofika hapo ni kwa sababu ya miundo mbinu ya wafikiaji abiria wanaosafiri.

Kunge kuwa na treni inayoweza kumtoa mtu mfano mbagara mpaka stend ya magufuri sizani kama mabasi yangefika huko.

Miundo mbinu ya ufikiaji hiyo stend inachosha yani una mizigo na unapoelekea mwendokasi hawa ruhusu mizigo,uchache wa mabasi mwendo kasi.

Kwa mtindo huu basi nyingi zita tafuta sehemu ya urahisi wateja wao wazidi kufika kwa urahisi.View attachment 3521674
Stendi ya Magufuli haipaswi kuwa stendi ya mkoa mzima, hata hilo gazeti la Mwananchi linaandika habari kipumbavu. Mkoa wa Dar es Salaam ulipaswa kuwa na stendi hata zaidi ya nne, moja kwa ajili ya Bagamayo road karibu na stendi ya daladala Makumbusho, moja kwa ajili ya Morogoro Road, moja kwa bus za Kusini na nyingine Kigamboni. Stendi ni kwa ajili ya kufanya usafiri wa abiria kuwa rahisi sio kukusanya mapato.
 
Wenye mabasi watakuambia wanakosa wateja mpaka wawepo wapigadebe ambao mostly ni vibaka
Wanye mabasi wala hawahitaji sana wapiga debe siku hizi, wapiga debe na wanaozurura stendi wakiuza pipi, mayai, n.k ni sehemu ya ajira zilizozalishwa na CCM.
 
Back
Top Bottom