Recent content by pretypriceless

  1. pretypriceless

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake hawapishani kwenye siti wakiona mwenzao mjamzito kasimama?

    Hawawapishi sababu nayeye alivokua ana mimba hakupishwa... kwann yeye apishwe? Wanarithishana roho
  2. pretypriceless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wenu: Nilimuahidi, nifanyaje?

    Eeh ulimuahidi hutamuacha hivihivi... japokua haingii akilini wewe timiza ahadi tena anaimumbushia.. timiza tu mmalizane
  3. pretypriceless

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda avamia Clouds Media na kuwatisha SHILAWADU

    Nasubiri another episode...
  4. pretypriceless

    JamiiForums Tanzania iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Nenda kupatana, search iphone 6 nahisi nmeiona leo kwenye zinazouzwa
  5. pretypriceless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji msichana wa kuoa niko serious

    Sasa aliekwambia mke anapatikana jamii forums nani?
  6. pretypriceless

    JamiiForums Tanzania So this is how flirting really works?

    Inanoga wote mkiwa single... sio wote takeni, so stupid.
  7. pretypriceless

    JamiiForums Tanzania RC Makonda agoma kuzungumzia kughushi vyeti

    Genius
  8. pretypriceless

    JamiiForums Tanzania Harmorapa , Harmonize hajui kuimba anabebwa na media

    Mimi simpendiiiiii mpaka basi, hakuna alichofanya mpaka sasa... ustaa tu unamsumbua basi watu wamemuweka midomoni weee, so stupid
  9. pretypriceless

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    Gwajima hana ethics za utumishi... anaongea tu ilimradi aonekane yumo..!!
  10. pretypriceless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wake tu: Wakezetu badilikeni!

    Sasa chukua mchepuko weka ndani uone atakuaje? Kama nyinyi kamsemo kenu kwamba hakuna kampeni baada ya kushinda uchaguzi, basi nasisi hakuna haja ya kubembelezana akat ushaniweka ndani upo?
  11. pretypriceless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa kwa mkataba wa miezi tisa

    Sasa mkataba wa miezi tisa akishazaa huyo mtoto inakuaje baada ya mkataba kuisha na hujampenda mkaachana? Ushawai kufikria mtoto kukaa na wazazi tofauti?
  12. pretypriceless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mna nini na simu zenu?

    Huyo sio mwanaume muaminifu, kwanini afiche simu? Anajua yaliyopo humo ndani sio kwa faida yenu wote... kwenye ndoa mbona ndo utaomba poo sasa kama usipotafuta ufumbuzi saiv
  13. pretypriceless

    JamiiForums Tanzania Kuoa Hatuoi

    Safi
  14. pretypriceless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu amepanda cheo, ananidharau

    Shkamoo mkuu...ushauri bomba
  15. pretypriceless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa sio kitu cha mchezomchezo

    Asante
Back
Top Bottom