Wanaume mna nini na simu zenu?

Wanaume mna nini na simu zenu?

Huyo sio mwanaume muaminifu, kwanini afiche simu? Anajua yaliyopo humo ndani sio kwa faida yenu wote... kwenye ndoa mbona ndo utaomba poo sasa kama usipotafuta ufumbuzi saiv
 
Habari za leo wanajamvi,

Jamani leo nimestaajabu. Nikiwa nimetolewa dinner na shemeji yenu mtarajiwa huku tukibadilishana mawazo ya hapa na pale nikapata simu ya msiba sasa kwa kuwa sina salio la kutosha nikasema nichukue simu ya shem wenu ili nipate kujua zaidi juu ya msiba.

Lakini mwenzenu ile nimeshika simu tuu nikashangaa ghafla nimevutwa mkono yani mkono umenyongorotwa kidogo nitoe damu. Ile nataka kukimbia nayo nikavutwa mpaka mkono kidogo nivunjike. Hivi jamani wanaume mna nini ni vitu gani au siri zipi ambazo hampendi zijulikane.

Naombeni kujuzwa
Inaonekana hukuwa na taarifa ya msiba wala nini maana kwa mtu anayejiheshimu hawezi kunyakua simu yako, bali huomba.
 
Simu imejaa michepuko kibao ndo maana yake. Sijui mbeleni mtakuwaje..... Keep us posted
 
Wanaume wote ukisema huyu hafai utatafuta sana hawapo wakutumia simu pamoja mmoja kwa mia.
Mkuu naye huyo mmoja ni lazima atakuwa na simu nyingine ambayo mke/mpnz anakuwa haijui, anayoijua ndo anamwachia acheze nayo. Chezea timu wanaume
 
na wachangiaji wahumu asilimia 90 wanaume ww unazani utapata sapot...c umeona kila mmoja anakuona umefanya kosa
 
Simu ya huyo "shemeji yetu" alikunyang'anya kwa kuwa ina picha zake Enzi akiwa mtoto mdogo hivyo alihisi utakuwa unamtania: hahahahahahahhahha:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom