Olsea
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 473
- 297
Mimi natumia 5s usiposhusha sauti hata bila loud speaker wa pembeni yako anasikia maongezi yote
Mkuu..baada ya ku google nmeona wadau wanasema iphone 5s hazina matatizo hayo.
Mimi natumia 5s usiposhusha sauti hata bila loud speaker wa pembeni yako anasikia maongezi yote
wakuuu kwema
msaada jinsi ya kureply post au comment apa jf natumia iPhone 5
Nenda kupatana, search iphone 6 nahisi nmeiona leo kwenye zinazouzwaWakuu iphone 6 plus yangu imepotea katika mazingira ya kutatanisha
Rangi ya Gold na ina crack kwenye screen
Ni ngumu kuitumia sababu ina password kabla hujaingia
Kwa vyovyote itakua imejilock kwa icloud
So please kama kuna mtu atakutana na iphone 6 plus inacrack nyingi kwenye kioo inauzwa na ina icloud lock naomba anisaidie kunijuza hata kwa pm....... Tafadhali
Zawadi nono itatolewa
Yupo mshamba mmoja anajifanya anatokea iringa anauza 6s kwa 200k.Nenda kupatana, search iphone 6 nahisi nmeiona leo kwenye zinazouzwa
Mkuu kuna tofauti gani ?![]()
Niliwasiliana na Apple nikajibiwa hivyo
Hao Elite ni mafundi tu nami nimesha fanya nao kazi sio authorized
Mkuu kuna tofauti gani ?
Apple authorized dealer wapo dsm.
Labda sijajua unachokitafuta.
Shoppers plaza masaki wapo mcity.
Mafundi authorized pia wapo hata hapo mikocheni tu.
??
Ww unatafuta nini labda?
Kama ligi tu hapo sawa.
Huyo jamaa sio mshamba ingia kichwa uone anavyowaliza watu jamiiforumYupo mshamba mmoja anajifanya anatokea iringa anauza 6s kwa 200k.
100,000 unayo ndugu?Natafuta betri la iphone 4s
0717335031
Au umebadilisha line, maana mie yalinikuta baada ya kuweka line ya Hallotel personal hotspot ikapotea nikiweka line zingine inaonekana, embu wataalamu waje watutatulie tatizoJamani msaada, nina Iphone 6s imepoteza personal hotspot. Siioni kwenye settings ila nilikua naitumia. Kwa anayejua namna ya kuirudisha
Jamani msaada, nina Iphone 6s imepoteza personal hotspot. Siioni kwenye settings ila nilikua naitumia. Kwa anayejua namna ya kuirudisha
Iphone 4s inauzwa iko kwenye clean condition bei 150k
Mzee ushaiuza tiyari?