Recent content by prednisolone

  1. prednisolone

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya clinical medical vya serikali

    Ingia www.nacte.go.tz hata ivyo dedline ni 20/8/ 2017 Sent using Jamii Forums mobile app
  2. prednisolone

    JamiiForums Tanzania Sayansi hizi za uswahilini zijamashiko au ni Mungu tu anatubeba...

    Mtu akikung'ata meno unapaka mavi ya kuku ili meno yaoze
  3. prednisolone

    JamiiForums Tanzania Pumzika kwa amani mdogo wangu

    Pole kaka kwa kifo cha mdogo wetu Sabrina duuuh inasikitishana sana lakin yote ni kazi ya Muumba tuwaombee kwake
  4. prednisolone

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Bi. Salma Kikwete kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kwa mbali kama nakuelewa hivi
  5. prednisolone

    JamiiForums Tanzania DC Hapi aagiza baa maarufu Jijini Dar, Corner bar ifungwe!

    Kwa mfano Mimi ni mmliliki wa hiyo bar halafu hao machangu wanakuja kama wateja wengine wanaagiza vinywaji baadae wakipata wateja wanaondoka na ikumbukwe hawana alama kuwa wanajiuza na makubaliano yao uongoz wa bar haujui sasa hapo kosa la kufunga bar ni nini!?
  6. prednisolone

    JamiiForums Tanzania Sio kwa dongo hili!!

    Nimejifunza kitu hapo nimeongeza maarifa wanawake wengine bwana
  7. prednisolone

    JamiiForums Tanzania Mabasi yanayokimbia sana kwa sasa Tanzania

    Kuna kitu colour star tbr to dar weka mbali na watoto
  8. prednisolone

    JamiiForums Tanzania Castle Lager imepanda bei au mimi ndo nimepandishiwa bei?

    Ni kweli kret lilikuwa likiuzwa 40,400/= kwa sasa limepanda hadi 43,600/= hivyo badala ya 2500 imepanda kuwa 2700
  9. prednisolone

    JamiiForums Tanzania Tangazo kutoka kambi ya Jeshi Lugalo, Mbuzi ameokotwa akila miti

    Nasubir atakae kuja
  10. prednisolone

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tukiingiaga magetoni kwenu wakaka na mkituacha huo ni uzembe wenu

    Nmekusoma mkuu lakini msinilaumu sasa ngoja niogeze offer ya kuwakaribisha gheto na vinywaji gan niongeze kabisa kwa fridge ili wageni wawe weng!?
  11. prednisolone

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utafanyaje ikitokea hii wakati wa tendo?

    Nachoamini Mimi kama ni mpenzi wako haweza pokea sim wakati mna[emoji131] lkn kma nmenunua hiyo huduma wallah nampa malipo nusu ya makubaliano
  12. prednisolone

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuache kujipendekeza na kuwatukuza wazungu

    Kumbe ukisoma hata kidogo raha sio kila unachofikiria bas kinafaa kuandikwa vingine unasababisha watu kuwa na wasi wasi kama sio juu yako bas elimu yako. Over
  13. prednisolone

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unyenyekevu wa wanaume wanapobembeleza penzi

    Kiukweli inauma sana kuna baadhi ya wasichana ukimfukuzia analeta malingo sana anakuzungusha duuuh kma unavihela ndio atakuchana weee tena anakuja na rafiki zake sasa cku ya faragha unakuta hakuna kitu ukifikiria na gharama zako haina namna ndio ivo tena ingawa sio uamuz mzuri
  14. prednisolone

    JamiiForums Tanzania Upungufu wa wauguzi umekua tishio hospitali za Serikali Dar es Salaam

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] inasikitisha sana
  15. prednisolone

    JamiiForums Tanzania Shikamoo bongo movie

    Mi nilisha acha kuangalia hizo movie kitambo ingawa bado naikumbuka movie ya zamani kidogo GIRL FRIEND yumo Tid, monalisa, gk na wengine
Back
Top Bottom