Wamesema "anakula miti ya bustani" sidhani kama umewaelewa.Kwa nini wasiende mkuu na wakati wamesema mwenye mbuzi akamchukue?
Kabla ya swali la kwanza utakuwa umeshachezea kipigo maana hawa wenzetu kupiga n ishu ndogo cjui ndio mafunzo hayo?umeshaambiwa kuwa anakula miti ya bustani na anazurura sasa unaanzaje kwenda,swali la kwanza kwa nini unamuacha mbuzi wako akizurura
Jamani kama kuna mtu kapotelewa Mbuzi tangazo hili hapa
Kabla ya swali la kwanza utakuwa umeshachezea kipigo maana hawa wenzetu kupiga n ishu ndogo cjui ndio mafunzo hayo?