Sio kwa dongo hili!!

Sio kwa dongo hili!!

Mi nilifikiri ujumbe ni kuruhusu bangi ivutwe kwa uangalifu na kujitambua... ukiwa na malengo kama Obama basi kuna wakati utaacha tu uendelee na maisha!...
 
Mi nilifikiri ujumbe ni kuruhusu bangi ivutwe kwa uangalifu na kujitambua... ukiwa na malengo kama Obama basi kuna wakati utaacha tu uendelee na maisha!...
Vipi mkuu nawe unahitaji bangi iruhusiwe?
 
Nimeiona hii nikamfikiria STUNTER
44fa922bed184390682c64785ec7559b.jpg
Mhhhhhhh kwakweli katushika pabaya sana.
Ila hakuna namna...tutaendelea kuzila tu
 
Yaani unakitoa out kidemu kinabwia savanna kama maji, mkimaliza mtoko ni sawa kama kamekunywa mifuko 8 ya saruji!
 
Yaani unakitoa out kidemu kinabwia savanna kama maji, mkimaliza mtoko ni sawa kama kamekunywa mifuko 8 ya saruji!

Uwiiii!! Yaani ndivyo mnavyotusimangaga!!
 
Kweli mkuu wanawake type ya Michelle Obama ni 10% of women around the world
 
Vipi mkuu nawe unahitaji bangi iruhusiwe?
Kwani wewe una mtazamo gani?!... tupunguze wigo wa vita ili tushinde au tupanue wigo uwe mpaaana hadi tushindwe kuudhibiti?!... Bangi ni mmea unaotumika kwa mambo mengi... mboga, dawa, unatumika kutengeneza baadhi ya dawa. Kama kungekuwa na utaratibu mzuri wa kuchukuliwa kwa kutengenezea dawa muhimu nafikiri fedha za mmea huu zingeifaidia serikali...
 
Am not even planning on building a mansion, enjoy your pizza...
Babe..?
 
Back
Top Bottom