Uliza Nkujibu
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 806
- 640
Habari wanajamvi..
Leo nimeenda kwenye pub yangu ya kila siku kunywa Castle ili niongeze akili. Ila nimeshangazwa na bei ya Castle Lager kupanda na brand nyingine kubaki constant.
Nataka kujua ni kweli Castle Lager imepanda bei kutoka 2500 hadi 2800 au wananifanyia price discrimination? na kama kweli imepanda kwanini iwe Castle Lager tu na sio bia nyingine?
Naomba nifahamishwe tafadhali.