Pumzika kwa amani mdogo wangu

Pumzika kwa amani mdogo wangu

Miongoni mwa wanafunzi Walio tangulia mbele zahaki Ni my Young Sister Sabrinah
Daaah allah akujalie uwe miongoni mwa watakao iyona pepo inshaallah

Pole dhazati na kwa wanafunzi wenzio walio tutoka na Walimu wao

Daaah 6/5/2017 sitahi sahau hii siku
e7486b1cab15ab6671476e2fcb14de35.jpg

Kifo Kifo Kifo Nisikufuru Mdogo wangu ulikuwa Nandoto zakuja kuwa Raisi Zime zima ghafla

Eemungu fariji moyo wangu moyo wangu daaah
Ndugu yangu wote tunawalilia kwa uchungu mkubwa sana nimeangalia picha ya ndugu yako umeamsha machungu yote tangu jana mi nalia tu nashindwa kukubalia kwamba watoto wapendwa kama hawa wote wameangamia ajalini inasikitisha sana lakini hakuna namna maskini tumelazimishwa kukubali kwamba hatutawaona tena binti na watoto wetu Mungu awape pumziko la milele Amen
 
Miongoni mwa wanafunzi Walio tangulia mbele zahaki Ni my Young Sister Sabrinah
Daaah allah akujalie uwe miongoni mwa watakao iyona pepo inshaallah

Pole dhazati na kwa wanafunzi wenzio walio tutoka na Walimu wao

Daaah 6/5/2017 sitahi sahau hii siku
e7486b1cab15ab6671476e2fcb14de35.jpg

Kifo Kifo Kifo Nisikufuru Mdogo wangu ulikuwa Nandoto zakuja kuwa Raisi Zime zima ghafla

Eemungu fariji moyo wangu moyo wangu daaah
Pole sana ndugu Mungu awafariji kipindi hiki kugumu sana.
 
Pole sana mkuu Mwenyezi Mungu baba wa mbinguni awape ustahimilivu kwenye hili
 
Pole mpendwa Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu mnachopitia...msiba huu niwakwetu sote.
 
Pole kaka kwa kifo cha mdogo wetu Sabrina duuuh inasikitishana sana lakin yote ni kazi ya Muumba tuwaombee kwake
 
Poleni sana Mungu awape watoto hawa pumziko la amani
 
Miongoni mwa wanafunzi Walio tangulia mbele zahaki Ni my Young Sister Sabrinah
Daaah allah akujalie uwe miongoni mwa watakao iyona pepo inshaallah

Pole dhazati na kwa wanafunzi wenzio walio tutoka na Walimu wao

Daaah 6/5/2017 sitahi sahau hii siku
e7486b1cab15ab6671476e2fcb14de35.jpg

Kifo Kifo Kifo Nisikufuru Mdogo wangu ulikuwa Nandoto zakuja kuwa Raisi Zime zima ghafla

Eemungu fariji moyo wangu moyo wangu daaah
hqdefault.jpg
981895f0420aa70c8b92f9d25bf14f75.jpg
 
Poleni sana mkuu, Mungu awalaze mahali pema, wapumzike kwa aman
 
Back
Top Bottom