hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 5,527
- 12,154
Uthibitisho wa ulichoandika.Uthibitisho upi unahitaji??
Kwamba Kibaha college of health and allied science ni chuo bora kuliko vyote.
Uthibitisho wa ulichoandika.Uthibitisho upi unahitaji??
Nikiandikaa patajaa humuuUthibitisho wa ulichoandika.
Kwamba Kibaha college of health and allied science ni chuo bora kuliko vyote.
Hapana.Nikiandikaa patajaa humuu
Labda un PM
LikeHapana.
Hapatajaa.
Kuna server za kutosha tu.
Tililika hizo sababu kila mmoja ajisomee na hatimaye kufaidika.
Nikija PM ntanufaika mimi tu.
Mimi si mchoyo nahitaji wana forum wengine pia wanufaike.
Kama hutojali ziweke hapa hizo sababu.
Upo wapi weweHapana.

Ingia www.nacte.go.tz hata ivyo dedline ni 20/8/Naombeni mnisaidie vyuo vya clinical medical vya serikali nina ufaulu wa c kwa chemistry B biology,c math na D physc na B ya english
Yeyote anae weza kujibu hili swali tafadhaliAsee wenye experience kuchaguliwa na nacte, watu gani wanapewa vipaumbele kati ya form six leavers na O level leavers ili wachaguliwe
Daaaa watoe tujue mojaNacte ni adje Leo ndio trh 14 September 2017; where are the results of selected candidates
Nacte ni adje Leo ndio trh 14 September 2017; where are the results of selected candidates