Shikamoo bongo movie

Shikamoo bongo movie

Na kuwaza miaka kumi iliyopita,ndani ya ofisi kuna picha JPM...na movie toleo la mwaka 2016.. ..

mke mwenye roho mbaya kumuwekea sumu mumewe kisha anaonja... .

jambazi anavamia jumba la kifahari kwa nia ya kufanya uhalifu anavua viatu mlangoni... ......

labda nikiwa gerezani ndio nitakaa kuangalia bongo movie... .....
 
Mi nilisha acha kuangalia hizo movie kitambo ingawa bado naikumbuka movie ya zamani kidogo GIRL FRIEND yumo Tid, monalisa, gk na wengine
 
*Shikamoo bongo movie... Naangalia movie yao hapa et mtu anakumbuka miaka 10 nyuma yupo disco alaf anacheza maisha na muziki ya darassa dah washanialibia cku...*
Ha ha haaaa sasa we subiri muda c mrefu utamuona jambazi anabisha hodi afu anavua viatu
 
Mpaka nafika page ya nne hakuna jina la hiyo movie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom