COARTEM
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 3,600
- 3,651
Kumekuwa na wimbi la baadhi ya Vijana na wazee wa Kitanzania ambao kwao mzungu wanamuona ndiyo mwokozi wa maisha yao.
Utamkuta mtu anashabikia nchi kuwa ombaomba. Utasikia mtu anashabikia nchi wahisani kuinyima misaada Tanzania as if yeye anaishi sayari ya Mars-ya Tz.
Tunahitaji kujitegemea, kufikia lengo hilo kuna maumivu lazima tupitie.
Hebu kuweni na uzalendo na nchi yenu enyi vibaraka wa wazungu.
Kama kuna vitu haviendi sawa, tuikosoe serikali ili ijirekebishe nchi isonge mbele.