Recent content by positive is normal

  1. positive is normal

    Kama upo ugenini na huna sehemu ya kulala fanya yafuatayo

    Songea mjini, kwenye kampuni ya bus Super Feo, ukikata ticket ya bus unaoneshwa sehemu ya kulala ya wateja waliokata ticket kwa safari za alfajiri, sehemu ya kulala ni hall kubwa, wameweka mikeka na TV ukutani, Kuna choo na bafu pia, alfajiri mabasi yao yanawafata yanawapeleka stendi ya mabasi...
  2. positive is normal

    Yaani Uganda anayetuzidi Kiwango 'Kafa' 2 Kwake Kampala na Algeria, leo tulio Mahututi Kimpira ndiyo tumfunge Algeria?

    TUNGEPATA SARE NA ALGERIA, TUFANYE MISA YA SHUKRANI. ------------------------ Mechi tatu za michuano tofauti tulizokutana na Algeria hivi karibuni wametufunga jumla ya goal 12. Sisi tumewafunga goal 2 tu. Tukiwa kwenye harakati za kuitafuta tiketi ya kwenda Urusi kwenye fainal za kombe la...
  3. positive is normal

    Mwenye swali lolote kuhusu Tiba za uchawi

    Nimesoma comment yako mpaka mwili umesisimka
  4. positive is normal

    Rasmi sasa ITV, EATV na Iman TV ndani ya DSTV

    Sio free mkuu, kifurushi kikiisha zinakata pia, wanakuachia TBC tu
  5. positive is normal

    Natafuta kazi za viwandani

    Mungu akuongeze mkuu, kila la heri, Maisha ya chuo bila financial support huwa yanakuwaga magumu Sana, Niliyaishi hayo maisha, Namshukuru Mungu kwa Neema yake nilimaliza, nipo mtaani napambana na hali yangu, Mungu akawe upande wako kwenye harakati zako za kusongesha gurudumu la maisha
  6. positive is normal

    USHUHUDA: Nilizaliwa na Virusi vya UKIMWI

    Shukrani, ubarikiwe mkuu
  7. positive is normal

    St. Francis Mbeya kuna siri gani?

    Mkuu kwenye Aya ya mwisho nimependa maoni yako, mdogo wangu alikuwa bogus kabisa, tukamhamishia shule X ipo mkoa X, alivyofika pale wakatushauri aanze form one, kipindi hicho alikuwa form 2, akaanza form one, kwenye matokeo yake ya form four, alimaliza na Div 3. Wote tulipigwa na butwaa maana...
  8. positive is normal

    Hivi ni kweli Mtu anaweza kuwa anaishi na Maambukizi (HIV+) halafu hajijui?

    Hiyo inawezekana mkuu, nilizaliwa na virusi vya ukimwi mwaka 1990's niliambiwa Hali ya yangu nikiwa darasa la sita, dalili zikaanza kujionesha mwaka 2016, na mwaka huo ndio nikaanza dozi.
  9. positive is normal

    Je, ukimaliza Diploma, unaweza kupata mkopo kwa ngazi ya Degree?

    Matokeo ya Diploma kwetu bado, Tumemaliza UE tarehe 8 September, nadhani wiki hii kuanzia kesho au kesho kutwa yatakuwa tayari, nitasubiri kuomba chuo dirisha la pili kama watafungua
  10. positive is normal

    George Floyd (RIP) ni nani, alikuwa anajishughulisha na nini?

    Alikuwa kafungwa pingu mikononi ndio alishindwa kujihami
  11. positive is normal

    Jinsi nilivyotumia Tsh. Milioni 1 kuzalisha faida ya Tsh. Milioni 10 ndani ya miezi kumi

    Mkuu naomba kufahamu tena kuhusu hili, ile kamisheni inayoingia kwa kila muamala unaipataje, je inaingizwa kwenye pesa ya salio au kuna namna ya kuitoa, ahsante natanguliza shukrani,
  12. positive is normal

    VIDEO: Fumanizi na kipigo kikali sana

    Dunia imeisha, Dunia inatikisika, kama ni hivyo jamaa alipanga amdhalilishe huyo binti, makosa ya mtandao kama hayo ndio yakudeal nayo, sio wanahangaika na kina Idris kwa makosa yasio na mashiko Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom