Rasmi sasa ITV, EATV na Iman TV ndani ya DSTV

chrisbleez

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
735
1,208
Hatimaye sasa ule usemi wa mvumilivu hula mbivu umezaa matunda baada ya waziri mwenye dhamana ya habari na teknolojia kuamua kuruhusu local channel kurudi DSTV.

Hata ivyo baada ya agizo hilo kulionekana bado kuna kitendawili baada channeli hizopendwa kutoonekana kama ilivyotarajiwa na wananchi wengi.

Katika kuweka maridhiano sawa mezani hatimae sasa rasmi channeli hizo zipo hewani kama ifuatavyo. 294 Iman TV, 383 ITV na 384 eatv tunawapongeza sana kwa juhudi na jitihada kubwa mlizotuonyesha.

Pia napenda kuwakumbusha kuwa Wameanza kuingiza na radio station ambazo mpaka sasa zilizokuwa tayari ni MAGIC FM 895 na E.FM 807
 
Mkuu chrisbleez salam kwako. Ahsante kwa taarifa. Je, ulichoandika ni taarifa za leo mcha au ni za lini? Tangu juzi Channel 383 ITV na 384 EATV zipo kwenye list with error message E16-
 
Mkuu chrisbleez salam kwako. Ahsante kwa taarifa. Je ulichoandika ni taarifa za leo mcha au ni za lini? Tangu juzi Channel 383 ITV na 384 EATV zipo kwenye list with error message E16-
Hakikisha umelipia kifurushi chochote ili uwe active yaani kuanzia 9900 kwenda mbele
 
Moto wa Star times si wa sayari hii kabisa kwa chaneli nyingi za soka na muvi, yani aendelee tu kiwakimbiza vivyo hivyo hadi mzitafute Sibuka TV mzioneshe maana DSTV ilikuwa imejisahau sana...
 
Moto wa Star times si wa sayari hii kabisa kwa chaneli nyingi za soka na muvi, yani aendelee tu kiwakimbiza vivyo hivyo hadi mzitafute Sibuka TV mzioneshe maana DSTV ilikuwa imejisahau sana...

Kukosekana hizo channel dstv haikuwa sababu ni wao… acha uzwazwa!
 
Back
Top Bottom